KOCHA JUMA MGUNDA BAADA YA KUWACHAKAZA WA DJIBOUTI BAO 5-0

preview_player
Показать описание
SUBSCRIBE NOW:

About the Official Simba SC YouTube Channel:

Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference

🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kocha lamakocha Juma Mgunda hongeren kwaushindi wote kwaujumla Simba nguvu moja

TomasiklistophaMwinuka
Автор

Kiwashe baba hawakujui simba noma gonga like

ShedrackBishaza-qdvq
Автор

Simba nguvu moja Asante MUNGU tumepata ushindi mzuri 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

WendeMposola
Автор

Hongereni Sana dada zetu wa Simba spot club

elimishanyamoga
Автор

Hongera sana juma mgundaa: bolii litembee

GASTONBUZEBA
Автор

Anafaa sana kuwa benchi la ufundi maana ni bora kuliko matora

Jastus
Автор

Hii ndo timu yakushabikia basi tu kwakua ni ligi ya wanawake, ila kocha mgunda🌹🌹 👏

josiacharles
Автор

Trust me, Mgunda atafanya mageuzi makubwa kwenye mpira wa wanawake na kufnya kuwa ligi itakyofatiliwa sanaa km ligi ya wanaume

MarryCharles-rcei
Автор

Mama Samia naomba uwape Simba queens goli la mama kuwatia moyo zaidi

ramadhanimanga
Автор

ASANTENI SANA BABA YETU MGUNDA. WEWE NI BINGWA WA BOLI LITEMBEE

anithawidambe
Автор

Ila "kuwachakaza"Sio neno zuri 😮

Thekidp
Автор

Naomba viongozi wetu wamuamini huyu mzee wampe hata msimu mmoja tu team ya wanaume anakitu huyu jamaa

hassanbakari
Автор

Uongozi wa Simba usiwe na kasumba ya makocha weupe hata sisi tunaujuwa. Sioni sababu ya kumgharamia kocha mgeni kwa nn tusimpe shavu
ndg yetu na muokozi wetu? Au hajui kiingereza lkn mpira ni vitendo hata bubu anaufundisha. Au mzigo mzito mpe Mzigua?

BakariSuleimani-ug
Автор

Huku sawa je ataleta kombe la Afrika la wanawake?

saidijafari
Автор

Mm naomba viongonzi wa Simba wakupe Simba ya wanaume kaka tunaumia Sana, pale akuna kocha

KazanaAdventina
Автор

Kocha la boli pep gadiola munene katika ubora wake

vumiliamgendi