BADO - B Classic 006 (Official music video)

preview_player
Показать описание
#bclassic006 #BADO
Song: BADO
Artist: B Classic- 006
Song Produced by: Denzel

B classic 006 Booking Info:
Tel or WhatsApp:+254 703 712451

Catch Up With B Classic 006 On:

Label :Champions Studio Kenya
ISRC#: TCAFR2121345
UPC: 859749092629
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Haven't seen him before but I swear he's so talented and is going far

massuchess
Автор

Uko na kipaji
Mziki mzuri Mungu akujalie kaka.

daviesskipesha
Автор

Ngoma kali sanaa😎😎b classic rocking a Hii ni ingine moto fireeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

rosparks
Автор

Walahi hii song ni kali.... Wasanii ni business people kama wengine tu BClassic anatuelewesha mazee.... The message in this song is just deep... Uko

pendodama
Автор

Yaani nashangaa kiki zote Classic alipewa na gigy money bado bei kaka ngoma yako iko juu utaomoka tu

reenkim
Автор

Kaka goma hili nalikubali sana, , , issa hiti kaka

onyile
Автор

Nashidwa sana mbona braza na vile mziki unafanya mzuri...lakini kaza mtima bro Mungu Yupo utatoka na siku yako haiko far. Mungu ni mwaminifu nakutakia kila la kheri kaka #Bclassic

petermwaura
Автор

Kali sana sana B classic 006, ngoma zako zinakubalika hadi huku Western maeneo ya kakamega, bungoma, busia na vihiga.

jackimsariko
Автор

Wallai ngoma kali na hamtaki kuview, ,, tulioangalia zaidi ya mara moja weka like #bclassic006

msuyagossip
Автор

B classic, Produza Denzel, Director mmeitendea haki Hii Ngoma#Bado🔥🔥🔥🔥💪💪

devidjapani
Автор

Karibu tanzania unakipaji cha kitanzania

suleymaniadinani
Автор

he has talked on behalf of many celebrities who are struggling but pretend to be ok

MeshWallen
Автор

Status ya NASH KIDO imenileta hapa. An amazing song Classic.

mckingori
Автор

Kuna ngoma ulikuwa upige kolabo na rayvany, wewe matawi ya juu B-classic 006 mwenyewe

davidmwasaru
Автор

waiting that song from B classic 006 mwenyewe wppy like zake

mkwaahclassic
Автор

006 to the world 🌎 ...this one ni motoo na badoo

jacobmwamburi
Автор

Kaka piga commenti hapa kama wewe ni b classic ama shabiki wake

onyile
Автор

Na mahater nawaombea nanyi mzidi kuniimbea...bado...BADO TI THE WOLD

stevoochiengokumu
Автор

Safi, Alex brought me here to see and feel the music.

vincenttilisho
Автор

How often do stars share their thoughts to inspire you to live, love and create? This is a masterpiece, bigup Denzel onthe Beat⚡⚡

DJ_Trez