#BREAKINGNEWS MAAMUZI MAZITO KESI YA TFF/HALI MBAYA HAKI IMETENDEKA ANGALIA HAPA

preview_player
Показать описание
#TFF
#KESI
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu msomali ni tatizo kubwa kwa maendeleo ya soka letu.

musajosephjoseph
Автор

Kalia rudi jeeni we ndiyo unatugombanusha watanzanua huna lolote unalako janni we ndiyo utatuvunjia amani mbona zamani hayakuepo ya hivo huna lolote rudi jeeni usijifabye we mzoefu wakati umenunua wajumbe

husseinmagari
Автор

Nikweli Bora ukweli uonekane tff wanaharibu soka la tanzania

rithamalyagili
Автор

Sio uchaguzi upite swala NI Kalia kuufanya mpira wa tz NI Mali take.yy anatakiwa ajiuzuru stop HAKUNA lingine

allykiduli
Автор

Karia ndiyo mwenye tatizo, kupita bila kupingwa haifai

shabaniallykapombe
Автор

Wacha compreny ianze kwn tff wamezowea kuwanyonga wa zanzibar. Na tabia hii co kwa tff bali wa tanganyika wanawanyonya wa zanzibar kulifanyia taifa la zanzibar kutawaliwa na wa tanganyika

mkanjimamkanjimamkanjima
Автор

Mnapoteza mada bure kwani si mnaelewa kwamba kuwa Tanganyika mmevaa koti la Muungano lakini sasa linaanza kuwabana

abdulismail
Автор

Acha nafasi nne zipotee lskini haki itendeke. TFF wamekuwa wababe sana na wanalea maovu kupitia mapungufu ya katiba ya TFF pamoja na kanuni zake

marcobulili
Автор

Acha tufungiwe maana soka letu ni hovyohovyo
Kila siku busara ndiyo zinaharibu soka letu

rajabukabelwa
Автор

Tff wanajitakiya mmeona yanga mpaka imeshitaki fifa kwahiyo tff ina matatizo ALI Saleh yupo sawa

salumrwambo
Автор

Uyo nakari chenga tuu nate ndiyo wale wanao egemea upande furani tendeni haki acheni upendeleo

husseinmagari
Автор

TFF ni janja janja sana hawa ni wasanii tu Ally Saleh yupo sawa tt. Tff kuna uwoza mkubwa kupitia huyu Ally Saleh inaweza ikawa dawa

fababindawood
Автор

Mm naona tufungiwe tu na FIFA Ili utupange upiya lakini kwasasa hatuna mpya kuanzi lig ndogo kubwa time ya taifa mpaka TFF .

mohamedkigwehe
Автор

Ally Saleh nahitaji adhabu kubwa kwani anachokifanya madhara yake nikudhoofisha soka la Tanzania kwa Maslahiyake binafsi

abdulrazaqallyshemmela
Автор

Uchaguzi upite kwanza! We mtangazaji Bwana Bakari uchambuzi wako ni WA kitoto au kishabiki, lazima mnapojadili kuweni serious kwani huwezi kuendekeza njaa na ushabiki Kwa mambo ya msingi kama hili. Eti tusubiri uchaguzi upite halafu watu wake mezani. Watu wanaofanya maamuzi Kwa jeuri na kiburi.. Bakari, are u serious? Watu wanabaguliwa, wanadhulumiwa haki zao, wanadhalilika halafu unaleta mzaha hapa, Japan's!

sylvesterjose
Автор

Mpira hauchezwi mahakamani fungia maisha hao vilaza wasubilitu miaka mine mingine watu wasiopenda maendeleo na mafanikio ya timu zingine wanawiwu sana eti mtu unaenda mahakamani kisa yanga haifanyi vizuri ill tufungiwe tukose wote wajiga kweri nyinyi tff fungia maisha hao mbwa wanao enda mahakamani

fredrickipembe
Автор

Kwani nani kakwambia nilazima karia aongoze mpira Wa Tanzania wacha jamaa atafute haki yake

shijamakoye
Автор

Kwenda mahakamani ni jambo zuri sababu pamoja na kelele zote huyo #Karia na wenzake waliziba masikio waliamini hakuna kitakacho fanyika.. This new era, hata kama kuna timu nne haitasaidia kama uongozi ni mbovu

rajabukimosa
Автор

Tff ya bongo noma sana, tena wanazingua.

venancembezya
Автор

Ally salehe hajakosea yupo sawa ili mpira wetu uendelee

saidially