Mimi Mars - Wenge (Official Video)

preview_player
Показать описание
Wenge by Mimi Mars (C) 2020 Mdee Music

WENGE OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written by Young Lunya and Performed by Mimi Mars

Follow Mimi Mars on:

Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mim mars nakupenda sanaaa mungu akulind nakuitaj ww

joshuasagala
Автор

na mwanya wako huo wa pembeni. Umetisha sana

shadrackalum
Автор

Yani ni noma Tz🇹🇿🔺🔥🙌🙌 what a song mamzuka ya beats ni next level.... if you dislike this song please go and see Otolaryngologists your ears 👂 must have a problem ⚠️ ⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️👌👌👌

Tfsfedexpilot
Автор

Kionjo cha "Tupendane mpenzi" by kilimanjaro band is onpoint🔥💥

MibobaBaha
Автор

Nice song and unajua kucheza pia hukosei

maimunamohamed
Автор

Ww mmi uko bomba Sana hii ngoma ya moto sana

maxmaizer
Автор

unachelewesha sana video ....hii ni kero ya wengi.... inafanya wakati mungine watazamaji wa video wanakuwa wachache #viewes

SUNDAYMRGAMINGTZ
Автор

Nyimbo nzuri plus dada mrembo anaejielewa ktk interview.super woman

barakajackson
Автор

This is my favorite song from Mimi Mars.😊

erikmayeku
Автор

You are a fantastic singer. I just fallen in love with your voice. Lot's of love and good wishes to you.

sankarmukherjee
Автор

Nakukubari Mimi Mars umetuleteaa kitu kizurii, ,,kama upoo hapaaa gonga likeee tupunguze" wenge"

dominickbugerula
Автор

Hili banga tamu sana, nice work Mimi mars

thatyohanasimon
Автор

Namskia young lunya kabisa umu Mimi em ka itapendeza rudini studio na mwanao lunya muuweee ka kawaida enu

holykizy
Автор

This song is boom boom it should be on trends

goodluckanthony
Автор

I can't stop listening to this song love it💖💖💖

mimlee
Автор

Jmn hii ngoma nikali
hz ndo bongo flevazetu Safi sanaaa bidada

Umenikumbusha mbli Sana 😥

adolphmwangoje
Автор

Tulikumic mpaka basi, wenge ipo gudi mpaka raha💞💞💞

neycarixta
Автор

Mimi, sio fan mkubwa BUT hii ngoma ni 🔥🔥🔥

jeremiahmnyeshi
Автор

The Chugga Queen Herself. Lotsa Love from #254

keis_Leis
Автор

Unajua hii ngoma sijajua imeishaje kuna mengi yaliitaji ngoma kali

issamwafongo