Killy - Roho (Official Audio)

preview_player
Показать описание
Roho is a Swahili Word in English Means (Soul) On this Song Killy tries to tell his love if you were tired you would tell me rather than leaving without even saying the reason why you ran away you would have written atleast a letter.

Song was produced by Terriyo from Imagination sound

Download/Stream In All Digital Platforms

Follow Killy
Twitter:
Facebook:

Listen to Killy

The official YouTube channel of Officialkilly. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call:

Lyrics
VERSE 1:
Asubuh kumepambazuka wa ubavu sikuoni iih
Nshazoea tunaamka wawili majirani ntawatazamaje usoni
Naanza kusali naomba kwa rabuka hiki kipengele siponi
mi si nitabaki kiwiliwili ina maana nliyofanya yote huyaoni
Kipi nimetenda kibaya au kukupenda nlifanya vibaya dah
Eti na nguo sizioni umefungasha virago vyote umefunga funga
Umeniacha kwa ubaya ila sina budi kukubali haya aah..!!
Yani niwe wa vichochoroni
(etii)
anaepita mbele sindano niwe dunga dunga
Ivi kweli darling unanipa maumivu mpaka aah
Ooh darling mwili utakonda nitachakaa
Ghafla nakumbuka mbali iiiih umekosa uvumilivu hata
Au penzi lako ghali pengine sina chambi
ndo umenikataa mwenzako roho

CHORUS:
Roho bado inaniumaa aah..!!
(iweje mzigo mzito unitwishee eee eeeh)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(roho inauma uma mama)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(Sili silali nimebaki mwenyewee eeh)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(iiiiiiiiih iiiiiiiiih iiiiiiiiiih)

VERSE 2:
Umeshazima koroboi ona kwa page
za udaku wameweka nukta nukta
Sina uzima sitoboi hunitaki katu na mchanga umeputa puta
Umeweka dhima niko hoi hutaki nithubutu umeweka tuta tuta
Yamezizima sichomoi kisu changu butu nyama inajivuta vuta
Umeondoka bila kusema sababu iliyokufanya uende
ungeandika hata barua ningeisoma nitake ama nisipende
Hata kama umenichoka ya nyuma ungevuta taswira
(Taswira aaah)
Wakati mbali tumetoka imekuaje umeweza kuzira aaah
(Kuzira aaah)
Ivi kweli darling unanipa maumivu mpaka aah..!!
Ooh darling mwili utakonda nitachakaa
Ghafla nakumbuka mbali iiiih umekosa uvumilivu hata
Au penzi lako ghali pengine sina chambi
ndo umenikataa mwenzako roho

CHORUS:

Roho bado inaniumaa aah..!!
(iweje mzigo mzito unitwishee eee eeeh)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(roho inauma uma mama)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(Sili silali nimebaki mwenyewee eeh)
Roho bado inaniumaa aah..!!
(iiiiiiiiih iiiiiiiiih iiiiiiiiiih)

#Killy #Roho
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nimechelewa kidogo ngoma ni Kali balaa like 100 from congo

makiko_son
Автор

Walomsubili killy kwa ham like za loho 17 zinatosha wana konge gang

sadymapesa
Автор

Roho itaniuma mnisipopea ikes ya killy kijana yetu

crisperkings
Автор

Now I believe JESHI alisema huu mwaka ni mwaka wa KONDE GANG..🎙🎼🎶🎤🎺🎹 KMWW

benochieng
Автор

Kiukwl hii ngoma kali sana half kizur zaid ibraa na yeye katia sauti yke kwa mbali kwenye chorus 💑💑💑

amangervacy
Автор

killy changamkaaaa babu ngoma ipo fresh

suwedimatumla
Автор

Melody Kama konde ngoma jaman👈👈👈👈 konde gang for everybody 🐘🐘🐘🐘🐘 KILLY tulikusubili kwa hamu kamanda 👨‍👩‍👧👏👏👏

yustozachalia
Автор

Wanafamily konde gang tuungane kiroho safi 🥰🥰

jackierama
Автор

outer konde gang on fire
ibraah burning
anjella boilling
konde the fire
country boy weuh

DREAM-ubjl
Автор

Konde gang one love unajuwa sana komesha wa mbosso nyimbo nzury sana Killy show tham

jemsgang
Автор

Bro killy mungu akuzidishie ngoma kali nimependa sana Roho hii moto bro killy 🎧🎧🎧

kingdonallan
Автор

Ambao mmesikiliza hii nyimbo Mara nyingi kama mm hebu nyoosheni vidole killy hakuwah Huu ni 🔥 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

mohamedabdul
Автор

Killy song roho kali imefanana kabisa sauti na konde boy alo we ataliiii !!

vitorinoantonioali
Автор

Ngoma kali sana kama umeridia zaidi ya mara saba like twende kazi

musamnaunda
Автор

Jamani tunataka ngoma lifikishe views laki tano ndani ya siku ganga like

evancechristopher
Автор

Hii mara ya 5 nasikiliza ubongo na masikio hayachoki kusikiliza nyimbo kaliiii sana love nyingi much-loved much-respect killy

hamzamajali
Автор

Napenda mziki wako killy majirani wangu hapa Washington DC USA wanaupenda sana mziki ijapokua hawaelewi kiswahili nawaeleza pole pole

babavee
Автор

Huu Sasa Moto 🔥🔥🔥Gonga Like Twende Sawa 🥰🥰

PLoveofficial
Автор

Ng'ombe wew kumbe unajua kuimba nyimbo tamu ivi maaalunii

mkojanifilm
Автор

Mtoto wa mjeshi nae atakuwa mjeshi tu killy nakukubali toka zamani ongera kaka

aberyanthoniy