POKEA SIFA - The Light Bearers

preview_player
Показать описание
Huu ni moja ya nyimbo nizipendazo sana toka katika album ya waimbaji wa The Light Bearers tokea Tanzania kwa jina la INUA MACHO. Wimbo wa POKEA SIFA ni wimnbo wa tano kati ya nyimbo 10 zilizo katika album hiyo.

Natumai hata wewe utaupenda wimbo huu.

***
This song is one of my favorites from the latest album namely INUA MACHO by The Light Bearers from Tanzania. The album title simply means Lift Up Your Eyes.
For full translations access the closed captions in both Swahili and English languages. The DVD contains 10 songs just for you.

I hope you have fantastic moment while listening to this artefact.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hakika matendo ya Mungu ni makuu sana maishani mwetu. Sifa zimrudie Yeye milele na milele. 🙏

edinakakulu
Автор

Until my Last breath, i will praise the Lord ❤ This my favourite 😍 🎵 song

byiringirosedi
Автор

Wimbo huu mzuri sana, hakika Mungu anastahili sifa kwa mema Mengi... wimbo naupenda sana.... matendo makuu ya Mungu anayonitendea... POKEA SIFA BWANA....Mungu awabariki sana the Light Bearers

asibatikemgaya
Автор

The song has made me to remember how the works of the Lord are so wonderful. Am a Cancer survivor and I live by the grace of God to proclaim what God has done for me

sellahkambuni
Автор

2023 still listening & blessed oohh! It's amazing

obedpeter
Автор

Na niwavute....wengi wakuone wewe waokolewe toka dhambini...amen

ancientsoul
Автор

Catholic
Kenyan
Loving your songs
God bless you
2021

karolinegichuki
Автор

Still my favorite in 2022🥰God bless this group for blessing our souls with this wonderful song 🙏

denisodhiambo
Автор

Pokea Sifa Ee bwana Kwa Kunipa Uzima Siku ya Leo

barasamakhanu
Автор

Am a catholic who has great passion for your songs and I play your songs daily. Great voices..God bless you all

lucywambui
Автор

Wimbo huu huuinua moyo wangu na nafsi yangu ninapokuwa chini. Hongera kwaya nzima na mungu aendelee kuwainua.

kinyuaisaac
Автор

HAKIKA MUNGU WANGU UMENITOA MBALI SANA SHUKRANI HESHIMA ZIKURUDIE BABA. AMINA

priscambwambo
Автор

Nikiyatafakali Matendo Makuu ya Bwana Juu ya Maisha Yangu Nasema Pokea Sifa Bwana Wimbo Huu una upako wa Baraka!

samsonmagesa
Автор

Now in 2024 still a song launched very nice

frankmhoja
Автор

Huu wimbo mara nyingi umekuwa ukinifanya nilie nikitafakari Yale ambayo mungu amenitendea

ShadrackKamencu
Автор

Every night I must listen this song before I sleep it's like my lullaby lullaby thanks lord for this far you are faithful God🙏🙏🙏🙏🙏🙏

janetnafulasasha
Автор

Huu wimbo unanigusa sana sichoki kuusikiliza tunapaswa kutoa sifa na shukrani kwa Mungu wetu.

eliamkibona
Автор

Umenitoa mbali Bwana Yesu sikua kama nilivyo hakika shukrani na heshima zikurudie wewe Mwokozi wangu. Nabarikiwa Sana na nyimbo hii be bless guys

rehemanmmari
Автор

Am Caleb from Ghana and I really love this song
Hope to visit Tanzania soon🤗🤗🤗

ayerteycaleb
Автор

Nawapenda sana na huu wimbo uwa nausikiza Kila saa

ShadrackKamencu