SALA YA ASUBUHI

preview_player
Показать описание
karibuni tusali pamoja sala ya asubuhi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kupitia sala hii nasali kila siku asubuhi. Mungu anijalie niwe na bidii kwenye kazi yangu ya halali nipate kusave pesa na kufanya vitu vya maana. Ifabye watoto wangu wabarikiwe katika mosomo yao ya vyuo na msingi. Nimalize nyumba ya ndoto yangu na ya biashara pia. Amen

Tiku
Автор

Katika hii Sala naomba mungu aniogoze katika wito wangu wa utawa Ili niendelee kufanya mapenzi yake daima milele amina

DamarisSyombua-ep
Автор

Asante yesu atafanya kitu. Na family yangu. Asante yesu kristo uniponye maradhi haya mm na watoto wangu. Wajuu wangu. Family yangu. Kupitia sala hii. Namshukuru mungu. 🙏🙏🙏

LucyMalapende
Автор

Asante mungu kwa kuwa umekua mwaminifu kwetu tangu tulipoanza mafungu ya kwaresma. na sasa tunaelekea kumaliza bwana. usituache na hata kutupungukia.bariki watoto wangu.uwape akili za ufaulu bwana. wape hekima, wape busara, naomba msimamie na hata anaende kumaliza kidato cha sita bwana mpe hitaji la ufaulu wake.yehova baba ulisema utawafanya wawe mikia bali watakuwa vichwa neno lako likatimie jehova tubariki nasi tuliamka tunapoenda kutafuta riziki zetu za kila siku baba. bariki kazi za mikono yetu Jehova.

merymushi
Автор

Nashukuru mungu kwa naomba haya akika yanazidi kunijenga kiroho Amen hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah❤😊
🙏

lisaabeidy
Автор

Natalie sala hii kila siku . Asubuhi na ucku. Inibaliki na family yetu. Pamoja na kazi za mikono yetu. Tupate uponyaji na afya njema. Asante yesu. Amen

LucyMalapende
Автор

Asante yesu umuongoze mwanangu achanguliwe kupata kazi mama bikira Maria amuombee

michaelfocus
Автор

Nashuru mungu. Nasali kila cku. Sala hii. Asante yesu

LucyMalapende
Автор

Kwa kupitia hii Sala ya asabuhi, Mungu Ni funike Na damu yako Mimi Na familia yangu, kabariki kazi ya mikono yangu Na Baraka zake zikanuvua kila wakati. Amina.

jackiedaviey
Автор

Mungu bariki familiya yangu tuwe na upendo zaidi

michaelfocus
Автор

Mungu ulinde familiya yangu pamoja na wajukuu zangu wawe naf furha zaidi

michaelfocus
Автор

Mungu unijalie nipate baraka kutoka kwako amina

FerdinardHamisi
Автор

Asante yesu kwa unipa afya jema. Na kuamka vixuri leo. Sala hii inijalie neema na family yangu. 🙏🙏🙏

LucyMalapende
Автор

Naombea watoto wangu, uzidi kuwalinda na kuwapigania na magonjwa na mm pia naomba ubariki familia yangu

HaginesMacha
Автор

Nawaombea wajane na wagone na watoto yatima wagonjwa walioko majumbani na hospital mungu walinde na uwape matumain.ya maisha map ya hapa duniani

DignahMolell
Автор

Katika Sala hii naomba Neema, afya njema na Baraka za Mwenyezi Mungu kwa familia yangu na za majirani zangu. Amina.

patrickbabu
Автор

Nitaitazama na nitaisali sala hii na nitaineza Kwa watu wengi na naomba nifanikiwe kufinguliwa nipate ndoa na pesa nyingi kupitia Sara hii yamafundisho yakweli yanayonivutia nakunitoa gizani Naina nilipotea

salamaseif
Автор

Sala hii nzur sana naomba mungu amuongoze mwanangu kwenye mtihani anao fanya mungu amsaidie apate kufaulu

michaelfocus
Автор

Kupitia kwa hii sala naomba amani kwa family yangu na pia kwa family yetu upendo na amani, naomba kufunguliwa kwa kazi ya mikono yangu na aniepushe na yule muovu shetani amina

mwikalimboloi
Автор

Kupitia sala hii naomba damu ya yesu inifunike mimi na familia yangu ikafunguwe baraka ibariki kazi za mikono yangu amina

sofiaoman