Hymnos 2 - Mwenye Utukufu | (feat Dedo Dieumerci, Alexis Byishimo, Espe R & John R) (Live)

preview_player
Показать описание
Follow Hymnos online

Contacts:
-----------------------------------------------------------
Thanks for watching! You're blessed
-----------------------------------------------------------
| Lyrics |
------------
Ni nani aliyeziumba mbingu na ardhi, na akafanya jua, mwezi, na nyota?
[Who created the heavens and the earth and made the sun, the moon and the stars?
 Ni nani aliyeiweka misingi ya dunia, na kuzijua hazina za upepo?
[Who laid the foundations of the earth, and knew the treasures of the wind?]
 Ni Bwana Mungu pekee, Muumba wa vitu vyote, ndiye anayestahili utukufu
[Only the Lord God, the Creator of all things, deserves the glory]
 Alizitandaza mbingu kwa mikono yake na nchi kwa hatua zake.
[He stretched out the heavens with his hands and the earth with his steps.]
 Alimuumba mwanadamu kwa mfano wake na kumpulizia pumzi ya uhai.
[He created man in his own image and breathed into him the breath of life.]
 
Mwenye utukufu, Mwenye hikima yote, ni Bwana muumbaji. 
[Glorious, All Wise, is the creator Lord]
Sisi, viumbe vyote, tuabudu jina lake, na tuimbe sifa zake.
[Let us, all creatures, worship his name, and sing his praises.]
 
Nimeinua macho, nikatazama uumbaji wako, nikastaajabia kazi za mikono yako. 
[I lifted up my eyes, I looked at your creation, I marveled at the works of your hands.]
Hekima yako, haielezaki
[Your wisdom is indescribable]
Hakuna wa kukushauri Bwana, wewe ni maalum.
[There is no one to advise you Lord, you are exceptional.]
 
Mungu, U mwenye nguvu. [God, you are powerful]
Wewe niwa  ajabu. [You are amazing]
Hakuna aliye kama wewe. [There is no one like you.]

---------------------------------------------------------
Written by Dedo Dieumerci
Audio by Flex music | Selah music
Video Produced by Ultimate Media | Selah music
-----------------------------------------------------------
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Amen 🙌 amen 🙏 mwenye utukufu mwenye hekima zote❤❤❤❤❤❤

Mignonne-eo
Автор

Hakuna wa kukushauri Bwana wewe ni maalum. Greatest highlight in the song. Deepest lyrics I've found in a song. More grace Hymnos. God be glorified forever.

nyamburaphoebe
Автор

Huu ni mojawapo wa zile nyimbo zilizojazwa uwepo wake Mwenyezi Mungu. Ni kweli, ni Mungu Mwenye Utukufu.

tonniekeith
Автор

Ni Nani aliyeziumba mbingu na ardhi .
Ooh.. Ni Nani aliyeiweka mizingi ya dunia na kuzijua hazina za upepo..
Alizitandaza mbingu kwa mikono yake
Alimuumba mwanadamu ...
So assuring that with God nothing is impossible!
AMENP

estherkerubo-kuko
Автор

Hallelujah hallelujah, , Anastahili Bwana wa mbinguni hakika 🇹🇿

magrethelisha
Автор

Amina, , hakuna aliyeziumba mbingu na ardhi ni Mungu mwenyewe hakika nimwema kila iitwapo leo, , Mungu awabariki kwa nyimbo hii utukufu wake uwafunike zaidi nazaidi

priscamalango
Автор

First half of the song!
God just used it right now to answer my prayer..am in tears and yet confident and assured that God is with me.
PROTECTING ME, FORGIVING ME, LEADING ME..AMEN
MBARIKIWE KILA SIKU

estherkerubo-kuko
Автор

Mumbavarire mujy murya umuziki abacuranzi baba bawubahaye cyanee abakobwa nimuva ahomuri murambihirizq murye ingoma murabyemerewe

dushimimanruth
Автор

Najisikia kubarikiwa sana, asanteni sana waimbaji kwa kuimba wimbo huu kwa lugha ya Kiswahili!!
Mungu awabariki sana!!

edwinernest
Автор

Mwenye utukufu, mwenye hekima yote ni bwana Mumbaji, sisi Vyumbe vote twabudu jina Lake na timber sifa zake.

pvp-lion-of-singam
Автор

I had feel the presence of the holy spirit in this song ....I can't hold my tears in my heart 😢😢

kahindialfred
Автор

I have not stopped listening to this song 😭😭 God bless you very much Hymnos

alicekavuumwaniki
Автор

Hakika Mungu anastahili utukifu na heshima, barikiwa sana mtumishi kwa wimbo unaogusa, nimebarikiwa sana

upendolaizer
Автор

Nimependa sana wimbo huu.🙏🙏 So touching gospel song. Much love from Tz🇹🇿

shaphats
Автор

Nime penda sana huuuu wimbo ndabakunda cyane kd IMANA ikomeze ibaje lmbere murabizi kbs

aimeemariza
Автор

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 wapendwa nyimbo zenu nazipenda

emmanuelnyandindi
Автор

Hallelluya hallelluya Shujaa wa Bwana karibu Tanzania Brother

EfraimEzekiel
Автор

Tumwabudu MUNGU ktk Roho na kweli, nimependa mbarikiwe sana

sarahmaro
Автор

Iyi ndirimbo ninziza muzadukorere niyikinyarwanda

uwayowilliam
Автор

Wow! Wow! Wow!, 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

Mungu mbarikiwe sana-sana!! 🙏🏿🙏🏿

worldnet