AZAM TV X-POSE | Maajabu ya kamera mpya za Azam TV | 'Kamera moja ni Tsh. Mil 500'

preview_player
Показать описание
Sikia maelezo kutoka kwa Lameck Charles kuhusu uwezo wa kamera mpya za matangazo ya mpira zilizokuja na magari mapya ya matangazo..

Sifa zake, uwezo wake, ubora wake, na bei yake ni balaa tupu
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongereni sana Azam TV. Mnaliheshimisha soka letu Afrika na Dunia nzima🎉

vinny.morales
Автор

From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys🎉🎉🎉🎉🎉

EGM-TZ
Автор

Azam tv wanastahili wapewe sapoti kubwa sio kukatishwa tama

saliieking
Автор

Mhmm iyo garama ya camera moja mbona nikipata naanza kujiita dangote😂

josiacharles
Автор

come back to Rwanda plz ! Rwandans need you

kwizerapacifique
Автор

Azam mnazingua matangazo ya mpira nyie mnatuonesha majukwaa goli linafungwa nyie mnaonesha watu wakifanya mambo yao

simongshayo