Hussein Jumbe-Nachechemea

preview_player
Показать описание
Please watch: "Ningekuwa Kwetu-Wamanyema"
The song belongs to Hussein Jumbe from Tanzania. All rights are also reserved to the owner of the audio file.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ndiomaana nimerud kwa Jumbe. Kama ulikuwepo kipindi hicho unasoma shule ya msingi ukirudi saa sita unatumwa dagaa harafu unaenda ukiendesha ringi la baiskeli gonga like kwa wingi twende pamoja

johnedwardkassawa
Автор

Rip Hussein Jumbe uliimba huu wimbo waliposema umekufa now umeondoka kweli

neemamutembei
Автор

Naupenda sana huu wimbo japo sjui umetoka mwaka gani 😢😢

LazaroFrank
Автор

R.i.p Hussein jumbe, , , thanks for the best songs

JenipherMussa-ijgd
Автор

R.I.P Hussein Jumbe hakika nyimbo zako zilikuwa Zinanikosha Sana Sababu zilikuwa na uhalisia wa maisha yetu katika jamii

restutangonyani
Автор

RIP mzee hii nyimbo ni miaka sasa kila siku lazima nisikilize kwenye gari au ofisin

Dantaata
Автор

Nasikia kifo chako Sasa hv imebidi niisikilize nyimbo hii😢😢 hakika kila nafsi itaonja mauti😢😢😢

zennakaboyonga
Автор

Wanadamu tatizo kubwa. Yao kusema mabaya. Mungu mkuu atusaidie sote. Amen.

uwezawamungumkuu.amaniafrika
Автор

R.I.P Mzee Hussein Jumbe. Asante kwa nyimbo nzuri inayoishi milele.

Omarysadick
Автор

Pumzika kwa Amani Mwamba tutakukumbuka Daima na Sauti yako itabaki kama kumbukumbu Kwetu.

hubimogela
Автор

Jumbe alipiga nyimbo hii early 2000 baada ya kuugua kwa muda mrefu hadi watu wakamzushia kifo. Baada ya kupona aliuimba huu wimbo kwa hisia sana huku akiwatawaja wabaya wake. Kama maden semeni

jafaripaje
Автор

Jamani naupenda sana huu mziki unanikumbusha mbali sana mwaka 2014 nilinunua bjj yangu ya blue HAZAB 2 niban mizkiki ya jumbe ikiwemo siri ya nini dereva wangu alifunga mzkki mkubwaa ilikuwa shda❤❤❤🎉

halimalachpat
Автор

Wimbo naupenda Sana. Ulikuwa ukipigwa nikiwa jikoni mdogo Rajabu Nanana Mpimbi lazima aje kuniita.nice song

aminamunda
Автор

mbona mnisakama na maneno mieeee!! Jumbe Hussein NDANI ya mjengo!!

menaskilibika
Автор

Niliganda niliduwaaa nimlilia sana mwanangu sana Mzee Dodo hatunaye Tena. ..R.I.P. Hussein Jumbe

PeterDaniel-yfqi
Автор

Hiyo ndio imekuwa the best of Hussein Jumbe brilliant song

abdulatifmoxamed
Автор

Walikuzushia sana kifo mpaka ukatunga wimbo nachechemea, watu sio wazuri. Pole kwa familia na Tasnia ya mziki wa dansi hakika kila nafsi itaonja mauti.

mussaisaac
Автор

Hakika there's a time hatutakuwepo nasisi hapa duniani. RIP legendary Jumbe

elizabethmboya
Автор

Niliwahi hudhuria onesho lako. Tukazungumza ukaniambia mengi. Mpenzi yeyote wa mziki, Sanaa, mashairi asingechoka kukusikiliza. Upumzike kwa amani kaka Hussein Jumbe!

mosesmulashani
Автор

Nakumbuka mwaka 2002 kipindi hicho buguruni kidarajani I missed my childhood

malikihamski