WASIOJULIKANA WACHOMA MOTO OFISI ZA CHADEMA, KWA UCHUNGU MKUBWA VIONGOZI WATOA TAMKO KALI

preview_player
Показать описание
Karibu Gilly Bonny Online Tv Channel ambayo imesajiliwa TCRA kwa ajili ya kukuletea habari kubwa za kisiasa, kijamii, kiuchumi na matukio yote muhimu yanazojiri Tanzania na nje ya Nchi kwa wakati sahihi kila siku:

Kama bado huja-Subscribe tafadhali hakikisha unafanya hivyo muda huu kisha bofya kengele ya Notification ili kuwa wa kwanza kupata taarifa na habari zote tunazoziweka kila wakati.
Facebook page tunapatikana @ Gilly Bonny Online Tv

Karibu sana Gilly Bonny Online Tv
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Poleni makamanda ccm hawana jipya kwani wanaelewa wazi kwamba hawakubaliki na watu

bonifacenkwasya
Автор

Nchi hii inaelekea kuingia kwenye machafuko. Leo wamechoka ofisi ya CHADEMA kesho ni ofisi ya ccm. Hapo vipi. Mimi sijui.

onesmomallya
Автор

Uongo mtupu wamekosa katiba mpya wanaanza kuchoma office zao.

tinyaanosiatha
Автор

Mnaacha kupambana na hao wanaochoma ofisi mnamsingizia mbowe kwa kesi za uongo we siro na ccm yenu IPO siku Mungu atawanyoosha.

eliajimmy
Автор

Hivi inashangaza vjiwe vya cdm vinabomalewa hata viongzi wa dining kimya kwanini watu wanakamatwa kanisani kimya Kuna Nini?

emmanuelbayi
Автор

CCM ni watu hovyo sana, wanatia hasira sana

eliajimmy
Автор

Hujuma! Kuvunjika kwa koleo, sio mwisho wa uhunzi, ndio kwanza wanatutia nguvu wananchi

elibarikimollel
Автор

HAO NI WATU WA CCM NDIO WALIOCHOMA MOTO, POLISI WANAWAJUA WA´IOFANYA MAMBO HAYO.

ndimimaskati