DINA MARIOUS AMALIZANA NA UHONDO YA EFM, PESA NA UKUBWA WAKE WATAJWA

preview_player
Показать описание
Mmoja kati ya Watangazaji Mahiri wa Vipindi vya Wanawake, Dina Marious ambaye alikuwa mtangazaji wa kipindi cha Uhondo cha EFM hata sikika tena katika kipindi hicho kwa mujibu wa taarifa za uongozi wa radio hiyo.

Dina ana mwezi mmoja hajasikika katika kipindi hicho huku akiendesha shughuli zake za KitchenPartyGalaDodoma bila ushirikiano na wa moja kwa moja na EFM kama miaka ya nyuma.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hawahami hao, , kuna kitu kinafanyika hapo

josephmabula
Автор

MONDI anazibomoa redio zingine, hao wote utawaona wakitambulishwa. Wasafi FM, kule pesa za kumwaga ndo maana hata watanzaji wanakimbilia kule wasafi tuje

akidajulius
Автор

Hamna hii nikiki tu kuna kipindi kinaanzishwa kwahio hao ndiomana wamewatoa huko

amourabdallah
Автор

Masking tumemzoweya kwanini mkafanya hivyo?? Muwekeni Tu

ummusamira