Harmonize Ft Darassa - Usiniache (Official Video Teaser)

preview_player
Показать описание
#harmonize #darassa #usiniache #takemeback
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wanaosema Kwa Ngoma hii kondee na darasa wamefanya vzr sana gonga like twende pamoja❤

barakamgimba
Автор

hii nyimbo ndo ya mwaka hakuna kupiga
vocals zimenyoka Sana congratulation to konde boy

naerrahboy
Автор

Hiyo ngoma ni kali konde fanya utoe chapu shabiki zako tunakungoja

AleckMdendemi-yr
Автор

NI UGALI YA MOTO FIRE SANA DARASA🔥🔥🔥🔥🔥

abrahmanhmd
Автор

Akika iyo ngoma imenishika kichama inanikumbusha mbali toa alaka icho kibao bc kiko vizur kinyama yan

SagatiSagati-lv
Автор

Hii ngoma ni kali, ya kuombea mke ukweni bila kutoa mahari 🤭🙌

theprincejr
Автор

Imetufikia huku mpanda katavi lakini imalizieni bwana yote

Devilinintungwawcvk