LIVE WISDOM : NAMNA SABA ZA KUFIKIRI ILI KUTIMIZA MALENGO YAKO -JOEL NANAUKA

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ombi langu ni Mungu akutunze kwa ajili ya wengine ambao hawajapata mafundisho yako

Rehema
Автор

Ameeeen, , Mungu akubariki kaka Joel 🙏🙏🙏

winfridaadam
Автор

Asante sana Dr Nanauka MUNGU BABA wa Mbinguni Akubariki Sana

MarcoPeter-yn
Автор

ASANTE MENTOR ARTHUR NANAUKA JOEL MASTER Hizi n Nondooo 🙏🙏🙏

NickGamba-fttl
Автор

Mungu akubariki sana kaka yangu umekua baraka kwa wengi

shukranjulius
Автор

1.kufikiri juu ya kule ninakokwensa
2.malengo
3.kufanya kwa ubora
4.kupata suluhisho
5.Namna ya kupata matokeo makubwa
5Wanajikuza
6.kuchukua hatua ya kutenda

EMAPLUSTV
Автор

hakika MUUMBA anakusudi na kila mtu, barikiwa sana uncle zidi kuwa baraka kwetu na kwa wenzetu pia

LeahBatenga
Автор

From Malawi, getting you clear..somo nzuri bro

YunusSani
Автор

Bado Nina Njaa kali ya Mafanikio lakini nashukuru Mungu kupitia Joel nanauka nimetanua sana maarifa yangu

AgustinoKinyaga