Harmonize - Bedroom Remix Ft Darassa, Country Boy, Young Lunya, Moni, Billnas, Rosa Ree, Baghdad

preview_player
Показать описание
Harmonize Featuring Darassa, Country Boy, Young Lunya, Salmin Swaggz, Moni Centrozone, Billnas, Rosa Ree, Baghdad, (Official Music Video)

Harmonize - AfroEast

Follow Harmonize

Listen to Harmonize

The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762

#Harmonize #BedroomRemix #Kondegang
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama uko period basi njoo tubonge tu! 😂😂😂. Baghdad murdered his lines!.That was Epic💯

davidogollaii
Автор

Baghdad shikamoo brother umewaonyesha vijana ukomavu mkubwa Sana, billnas respect too

emmanuelsilungu
Автор

ka upo period njoo tu bonge tu,
uyu ndie kawaficha wote
like za baghdad apa

goodlucktemu
Автор

Si umezoea wazungu leo na mwanga hadi wachaga. Bilnass🙌🙌

MariamCornely-ksot
Автор

Bonge la ngoma nzuri sana Konde Boy & Daradara 🎵🎧🎵🔊🎙️🎼🎨 wangapi wana mkubali Konde Boy na Daradara hembu shusha comment yako hapo au like hapo

wakanaiautomotive
Автор

Salmin Swaggz katisha daaamn Niunge mkono kama umekubalii kaenda sawa na beat

joelgeorge
Автор

Before the remix the song was lit ... now after the remix is the biggest tune unakubaliana nami piga like from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

eahype
Автор

Tutaanza na kimoko cha awali cha pili cha Ajali cha tatu utakubali..
Tagi LA wanalizombe Juu
Baghdad mtu M bad"🙌🏽

rasdarkvanbraize
Автор

Mwenye amemuelewa rose Ree kama mimi, twende sawa. I love the creativity in general 💪

mmary
Автор

Konde Boy... nice collaboration 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya we are watching ...wapi likes za Harmo na Mr Burudan mwenyeewe

shyboy
Автор

Sema billnass kaua humu ndani walah, Baghdad kapoa Rosa reee wewe cyo wa nchi hiiii🙌

kiredio_
Автор

1)Darassa🔥🔥🔥🔥🔥
2)Rosa Ree-goddess🔥🔥🔥🔥💯👏🏻👏🏻
3)Baghdad 🔥🔥🔥🙌🏻🙌🏻

martinkisyanga
Автор

DARASA ndo kaua mistar imetuliaaaa kinyamaaa, big up konde

HashimMfaume
Автор

Binafsi naona kila mtu katisha mbaya kama na we unaona wote wametisha gonga like hapo tujuane wanakonde gang

johnryder
Автор

Nenga mnyama....gonga like yujuane...mistar kuntu baba....next level....

sadickmchomvu
Автор

2024 just here to remind myself of Baghdad’s greatness 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

abuubaqr
Автор

@billnass he kill up salute kwake
Nani ameona hiyo vesre.

reysamkidlion
Автор

LUNYAAA NI HATARIII SIJAWAHI ONA UNYAMA ALIO UFANYA HUMU NDANI🔥🔥🔥🔥🔥🔥

skm
Автор

This remix is fire🔥 I wish I understood the whole words
Tanzania🇹🇿 show me some love all the way from Nigeria 🇳🇬

Weezy
Автор

We sumezoea kumwaga wazungu Leo unamwaga hadi wachaga verse from blinass like there

francismwasamila
visit shbcf.ru