Willy Paul - Life Is Sweet ( Official Lyric Video )

preview_player
Показать описание

Follow Willy Paul on Socials

#WillyPaul #saldidointernational
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Willy Paul ni msanii mwenye nidhamu Hana sifa afu utunzi wake ameshinda wengi Sana. Nakuombea Mungu kaka azidi kkuekea ulinzi uendelee na KAZI vizuri.🙏🙏

ShattaTesh
Автор

Soon pozze utatoa hit ...weee peana mangoma weekly zaidi ....moja itatoka iende ikiendanga nipe likes

markkelvin
Автор

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 mimi kama mtanzania najivuniwa wewe William paulo ❤❤❤
Nakupenda sana, nawapenda wakenya wote mashaallah, Mwenyezi Mungu awajarie amani tele nchini kwenu❤❤🎉🎉
UKIIMBA KISWAHILI NYIMBO ZAKO HUWA ZINAENDA SANA.

RamadanPaul
Автор

Kutoka Tanzania nimekuwa wa kwanza kuupenda huu wimbo ni mkali haya wakenya shusheni likes zenu bas

RajiJosefathi
Автор

Imagine hii song ❤❤❤❤❤❤ukitumia mtu wa u kama voice note....Aki mki...like nadai siskize Tena ...Tena

babjibabjibaji
Автор

I'm a Sierra Leonean but a fervent follower of Willy's music! His melodious songs can pass for any therapeutic song coming from Africa.

Keep it up,

mundabonnie
Автор

Pozze you shouldn't sleep at all.🇰🇪 Kenyan music depends on you.
Continue setting trends, you are the best.
I declare this song as the song of the year 🎉
Kama unapenda Willy nipe like na reply❤❤❤

Tonnie
Автор

Imgn mkiamua kumpea Willy attention Na full support huyu anaeza itishwa collaboration Na Chris Brown ama Justin Bieber 🎉🎉🎉🎉

NYAHURURU_ICON
Автор

Mm nko Jamaica naomba konsince apee poze collabo Kenya tufike worldwide 🎉🎉

KigogoTv-gmik
Автор

Thank you Willy from Cameroon
Am a die hard fan 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

atehcavour
Автор

I ALWAYS SAY THIS MAN ..is MR INTERNATIONAL 💯⚡

DONPRINCE-tm
Автор

This is the kind of Artist we really need hardwork pays and beats talent keep pushing pozzee utafika where you aim at .

brianluizrotich
Автор

Wakuu was here after the live with the immediate effect wapi likes ya Kenyan music

geoffreymichira
Автор

The best of best from Kenya.. Diamond cheki boy vile ako talented mbaya...Unaongopa kuoshwa😅😅

kellykelliz
Автор

Wallae I'm addicted 😭🤭🥰🥰to this Aki tangu niskie nashinda😍 nikieka

SheeyViviline
Автор

Pozze ameamua back to back big up ww ndo kenya inakutegemea manze 🎉🎉🎉🎉

alphatruthmridea
Автор

ONE AND ONLY OUR INTERNATIONAL KING POZZE IS REPRESENTING EAST AFRICA TO THE WORLD, , , KENYA LOVES YOU BROOO❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

lamonaizerke
Автор

I love Willy he is a mentor to very many youngsters who will be artists in coming future from Machakos Kenya...guys namba likes

JoyfulSitar-kdnj
Автор

This guy is international 🎉🎉🎉🎉
Willy Paul cannot compete or be compared with other small singers. I love his material, his artistic style, voice and melody. He's super

GideonRotich-tktg
Автор

Wow 😲 congratulations 👏 nice song 🎉bozze boss keep up good job I love you 💕 i wish one day tupige na wewe moja tu na wakenya wamekubali brother kwa kazi unayovanya weeh siamini kuwa huyu ni wewe Wala English tamu watu wangu wapi like ya bozze boss

EvAggreybabu