MSTAFU KIKWETE AWASHUKIA VIONGOZI WA MICHEZO KUTOANDAA TIMU “MNAENDA KWA MBWEMBWE KURUDI KIMYAKIMYA”

preview_player
Показать описание
RAIS Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete jana amezindua mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa kikapu kwenye Shule ya Sekondari Minaki Wilaya ya Kisarawe huku alitoa wito kwa Shirikisho la mchezo huo hapa nchini (TBF) kuweka mkazo kwenye kufundisha walimu wa mchezo huo kwa vijana.

Mradi huo wa mamilioni ya fedha unajengwa kwa msaada wa taasisi ya GOA (Giant of Africa) inayoongozwa na Rais wa klabu ya Toronto Raptors inayoshoriki ligi ya NBA ya Marekani Masai Ujiri.

Dkt Kikwete alisema kuwa mchezo huo mpira kikapu utapiga hatua kama kutakuaa na miundo mbinu mizuri pamoja na walimu wa kufundisha vijana mchezo huo
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jamani tujuane ambao hatu mpendi Kikwete

mpaihasanihassan
Автор

We mdada muogope mungu acha tabia ya kusemea watu eti wewe ni kiongozi unaependwa na watu wote kakwambia nani? RIP #JPM 😭😭😭😭😭😭🏃🏃🏃

shinipapaya
Автор

Alishidwa kuongea kile kipindi cha simba na. Yanga

mpaihasanihassan