Matukio ya Kutisha! Yaliyo Naswa Na Camera Usiku. 'USIANGALIE PEKE YAKO KAMA MUOGA'

preview_player
Показать описание
Duniani kumekua na matukio mengi mno ya kutisha Hasa nyakati za usiku. Yapo machache yaliyowahi kunaswa na camera haya ni machache.

#Jabalimedia #matukioyakutisha
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Siku hizi wanga wanaonekana hadi na cctv kweli uchawi umepitwa na wakati

Kingstonbagamoyo
Автор

Cctv camera huwa hazitikisiki hizo me naona ni movie

mpeponestory
Автор

Ilikuwaje atembee anarekodi video huku anaendesha gari

mswahilitz
Автор

Sio mpaka ufe wewe ndo uamini kifo kipo

YohanaRichard-ep