HAKI YAKO- DOMINIC KAVITI

preview_player
Показать описание
Wimbo huu umeimbwa kwa ajili ya kuombea uchaguzi wa Amani Kenya na kuhimiza wakenya waende wakapige kura kwani ni Haki Yao
umeimbwa na : David Kaviti,Dominic Kaviti ,Kenyatta Mpenda Mziki na Petronila Keri.
Audio and produced by: Mpenda Mziki Productions.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

HAKI YAKO
1. Haki yako ni wewe uliyo nayo-unapochochewa jiulize
Wanasema haraka wanaondoka-mnapoachwa ninyi mwauanax2.

AMANI (NI AMANI TWAOMBA NI AMANI TWATAKA IDUMISHWE

2. Wanatafuta faida yao wenyewe-unapochochewa jiulize
Maneno yao yanawafarakanisha-mnapoachwa ninyi mwauanax2.


3. Ahadi zao niza uongo mtupu-unapochochewa jiulize
Kura yako ni haki yako mwenyewe-usilazimishwe na mtu yulex2.


4. Ukumbuke Kenya ni nchi yako-unapochochewa jiulize
Una haki yakuishi popote- bila kubaguliwa na yeyotex2.

EPICREALITYTV
Автор

Wow hongera sana kweli wakenya tunahitaji Amani kenya.

florensiekiemar
Автор

Bravo. Citizens needs to hear this before n after elections.

bibianmumbe
Автор

Wow. This is great n educative song congrats kaviti's

bibianmumbe
Автор

Great 👌 let's keep spreading the message, one love, one nation 🇰🇪

djk-young
Автор

What a master piece thanks for the good message...

maryndinda
Автор

Nice one, keep it up namesake together with daddy.... next recording inform me 👊

davidmutinda