MWANZO MWISHO: KAGERE, MWANA FA, Z-ANTO, PACHO MWAMBA, MLELA WALIVYOWAHUDUMIA WALEMAVU

preview_player
Показать описание
Mastaa mbalimbali wameungana kwa pamoja katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam kwa jailli ya kuwahudumia walemavu katika futari iliyoandaliwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa kushirikiana na wadau mbalimbali.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

MashaAllah ..Hakika uislamu mzur najivunia kuwa muislamu

hjhj
Автор

😂😂😂😂😂 kamaa umemuonaa mzee wa vokooo gonga like😁😁😁😁

saidtuwa
Автор

Hilo kofia la steve nyerere jamani lita angukia kwenye mchuzi

bjzee
Автор

Kama wewe ni mpenzi wa simulizi za kweli na riwaya za kusisimua.Bonyeza picha yangu hii itakayokupeleka kwenye Youtube channel yetu ya simulizi za kweli kisha Subscribe.Na endelea kufurahi simulizi kemu kemu.Jaribu sasa hutajuta...

Jacqevalence
Автор

Bado kabisa hawajajuwa nini maana ya iftari!
"Iftari ni chakula chochote kile ambacho kinaliwa na WAISILAMU tena waliofunga, wakati wa mwezi wa MIRAJI, SHAABANI, RAMADHANI pamoja na siku yengine za SUNNA(WAISILAMU hapa wananielewa zaidi) tena baada ya swala ya Magharibi(hiyo ndiyo IFTARI).
Na hata kama wewe ni MUISILAMU ukawa hujafunga basi huli IFTARI utakuwa unakula chakula cha usiku tu na si IFTARI, sasa hawa wasiokuwa si WAISILAMU walikuwa wanafanya nini hapa na si shughuli yao hii?
Huo ndio UISILAMU maana ukitowa Shadda au Sekine katika Alifu basi lazima uambiwe Shekhe soma vizuri!!

mwanaz
Автор

Hiyo ftari yote wamefturu walemavu tu au na wazima walikuwepo

inspirationmessages
Автор

jaman mm naomben kaz hiz za kupika nik vizur

rehemahramadhani
welcome to shbcf.ru