The Catalyst & Moses B - Mwiza (Official Video)

preview_player
Показать описание
Audio mixed and mastered by
Tammie Bimha

Post production engineering by:Mitchell Mike jr

Video production
-Sp visual

Sound: Haddypro
Lights: Haddypro

Music Director and arranger: Elisha Julius (Korg)
Lead guitar: Gershon
Bass guitar. Gloire bass
2nd piano . Peter Amerty
3rd piano. Mpeli
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama umelewa alichofanya huyu mtumishi basi tumpe support share like comment I see kigoma in sky

hqqxhux
Автор

Amen, Waha na wahangaza naomba like zenu.

annijulius
Автор

yan kuna namna MUHA mimi niliye jiokokea namwamini huyu Yesu niko najifeel😊😊❤❤😂😂😂😂

finiascharles
Автор

Aloooo dah😢😢😢😢😢 mwami wachu ni mwiza bhadawe abhavi kigoma tubhonane hano....

abihudiisaka
Автор

Waaahaaa wakigomaaaa mko I was gonna say i love my trouble🎉🎉❤❤

GaudenciaAnthony
Автор

Wimbo mzuri sana, umwami wachu ni mwiza chane.Kigoma to the world.

neemadavid
Автор

Ulimwizaa Yesu . Mbarikiwe sanasana wimbo mzuriii saaana Kwa Yesu iwe utukufu wooote

magrethandrew
Автор

Ntagi Tanana ulongeje imana. Shumbe chane bhikwelele fuhungwe fuhungwe chane chane

fkwikvv
Автор

Bro tuliimba utotoni hongera
Sana you have my support

hqqxhux
Автор

Tunawapenda kwa jina la Yesu jilindeni na dhambi Hiyo tu itawatoa kwenye wingu Hilo mbarikiwe sn na msonge mbele damu ya Yesu iwafunike mnagusa maisha ya wengi

victoriamaige
Автор

Upendo kutoka Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Wimbo huu nimeuona kwenye Wasafi TV Jana na nikaupenda Sana!!!

Mungu yuu Mwema!!!!❤❤❤❤

byukusengeleon
Автор

Nikiwa Arusha... Nimeipenda sanaaaa hii nyimbo imana ibhafuhure

pmijzbn
Автор

Burundi, we can feel the presence of God through this song! Balikiweni sana, love you so much!

fabricendayikorere
Автор

Imana ibafuhure: kwa kweli this song will be Kigoma city ! Murakoze chane kuririmba igiha

Nathan_Junie_Tw
Автор

Uwo mwami wacu nimwiza rwose, , ni umunyabuntu butangaje, , baraka ziwe kwenu kabisa team Moses.🇬🇦🇬🇦

MinisterDieumerciofficial
Автор

Nimerudi kuwapongeza Fam, God bless you for the Anthem🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾

ombenistony
Автор

Nimekumbuka mbali saaana, mama alitufundisha kama pambio. Be blessed watumishi wa MUNGU

estherlissu
Автор

Wahaaa wenzangu sasa ❤hongera sana wimbo mzuri

wvuheeh
Автор

Oooh wow yatuzaniye amaholo all the way from Iringa

jeraldjensen
Автор

Wimbo mzuri mno nimebarikiwa kwa viwango vya juu jinsi wimbo huu wa kiha ulivoutendea haki kwa mahadhi yote

kastorywilson