MAIMATHA AFUNGUKA UGOMVI WAKE NA DIVA THE BAWSE ATANGAZA KUMPELEKA MAHAKAMANI/KUOMBA MSAMAHA/DIDA

preview_player
Показать описание
MAMBO YAZIDI KUA MAZITO MAIMATHA ATOA KAULI NZITO KUHUSU DIVA THE BAWSE NIPO TAYARI KUMPIMA MAREHEMU DIDA ALIMUAMBIA AACHE KUA OMBA OMBA #divathebawse #MAIMATHA #dida
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mai anachamba vizur yani bila jasho❤❤❤

FaridaKizenga
Автор

My mzuri weee upo natural af unajiamin age go ila unakibabby face congratiration

SaphinaSamson
Автор

Iwapo kasema ugonjwa wa Ukimwi basi kakosea kweli yalikua mambo ya zamani cdhani upo mtu uwataka ilo gonjwa wengne wameathirika kw kubakwa

rajah
Автор

Sitaki hata, kujua chanzo cha ugomvi ... mimi ni team mai ❤❤❤

JumaLutes
Автор

Kwa hivo bongo tusi kubwa ukimwambia mtu meza dawa umemaliza😅😅😅

ndunihasani
Автор

Ila diva amekosea yeye nikioo cha jamii alafu ndowakwanza kupotosha jamii kweli diva cmzima kama gigy tu pore dada

SofiaSofia-qhwh
Автор

Mai nakupenda unachamba taratibuu 😂😂😂😂

zahrababygarl
Автор

Hata kama Kweli mai anatumia dawa kwann umthaliliehe mwezie sio poa

mr.yahzadochuno
Автор

Huyu mai mbona sikuhz hata hana shida na watu. Hata jinsi anavyotoaga umbea kwenye kipindi chao unamuona kabisa hamuongelei mtu kwa ubaya

ramadhanseleman
Автор

MaiMartha I'm with you dear 😊kwanza ongea yako tu ni hatari na robo 😂...

CindyKazembe
Автор

We nae huna akili sasa hapo dida kaingiaje si umeze tu hizo dawa

shamsahasan
Автор

Hunalolote .Mbeya mkubwa usimtishe divai 😊😊😊😊😊😊😊😊

NaseebAlly-xjjs
Автор

😂😂😂adi mwaka huishe mtakua mmeshatajana wote

naomicharles
Автор

Ila we unamdomo sana ukiguswaa kwenye mshono lazma ukimbilie polis na kutaka kulipwa

mayrose
Автор

Huyu sasa ndio wamuweke kwenye kipind cha jirani crown fm pamepooza sn

khalsasalim
Автор

Sijawahi kusikia mahokiano yaliyonichekesha kiasi hiki Mai umeniacha hoi😂😂😂😂

hellenantomola
visit shbcf.ru