GIGY MONEY AKATAA KUOLEWA KWA MAHARI MIL. 500

preview_player
Показать описание
GIGY MONEY AKATAA KUOLEWA KWA MAHARI MIL. 500

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Gigy Money, amepiga stori na Global TV na kuzungumza bata lake na mpenzi wake walilokula Dubai ambalo lilizua gumzo mitandaoni watu wakimwambia Gigy kuwa anamaliza hela zake kwa mwanaume huyo...

UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE

( +255 784 888982)

( +255 676 229628)

HABARI MPYA DAILY:

HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:

GLOBAL RADIO TV:

EXCLUSIVE INTERVIEW:

Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

The only person who speaks the truth in Tanzania jmn dada huyu

truthknow
Автор

Hamna hata mwanaume anae weza kutoa million3 sikuiz umeongea point 😀😀😀

enockchaula
Автор

Congratulation. Gigy you talking frequently English.. Your brain know what's you talk.your real natural skin colour.

yusufally
Автор

Gigy uko vizuri, interview zako nazimicc sana,

queenwinnie
Автор

gigy big up dada yng nakukubali kuliko wote we nixhida

sajadkimwaga
Автор

Uyu dada nampendaga bule maneno yake hata Kama yeye ni chenga

isayakilangi
Автор

Nakupenda sana gigy u always be urself and speak truth

sashamonique
Автор

Mtangazaji bro, sie pia bro jomon gigy mahela🤣🤗haya basi wacha tulale

azzamahamdu
Автор

Huyu interviewer anaongeaje? hamuwezi kua serious 😂😂😂😂😂

maverickcreativesolutions
Автор

Anamwita matangazaji bro kama umesikia hilo gonga like

estatekisombola
Автор

Gigy money nakukubari Sana dada angu iyo niva ana chaajabu kipi mbaka mtu atoe milioni 500

alyhamadi
Автор

Giggy huaga reality achana na Yule kibibi wakujifanya high class

husseinomar
Автор

Me nakupenda gigy unajua nn unafanya love u

fatumadaud
Автор

Hakuna hata mwanaume wakutoa milioni 3 dadeki 😂😂😂😂

mcsailas
Автор

Gigy anajibu bana napend point zake mapenz 500m ushuuzi
Mapenz nikupendana pesa zinatafutwa uuuwww piga kelele kwa gigy akeeee🍷

zuhuragwanko
Автор

Gigi umezoea kuongea sana na wanaume sn au mana hio 'bro' imekukaa kinoma.

awardandrew
Автор

Nagimiria tu umuweke gigi money, shilole, amber ruti na lulu diva sister fey.
Wakae saa 1 tu peje yao.😂😂😂

jokhasaid
Автор

Kama umeona minyama uzembe ya tumbo gonga like

happydikanto
Автор

We muandshi nimchonganishi kinoma yani ujsomea iyo kazi nenda kasome tena

fahadykabuhaya