Kesi Mpya Paula Asababisha Kajala Kutukanwa Wakiwa Na Harmonize Mbele Za Watu

preview_player
Показать описание
Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.

FOLLOW US
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kila mmoja na malezi yake mwezetu yeye anaona sawa 🤪

fatimamowa
Автор

Asiyefunzwa na Mamae, , , hufunzwa na dunia: hapo hakuna mwanafunzi! Watavuna wanachokipanda, , aliyeshndkana ni mama wamtoto hata kabla ya mtoto, , mtoto yey anafuata nyao!!

amosdaniel
Автор

Dah kweli huyu kajala na mwanae hawajielewi kabsa Mungu tunusuru

neemaibrahim
Автор

Kwa maoni ni kwamba kajala hakukerwa ama kuumizwa na post za reyvany ila mpenzi wake harmonize ndie alie kereka na kuilazimisha ifunguliwe kesi juu ya vanyboy lakini mama alipendezwa na zile picha zilizovuja

rashidmwinyi
Автор

HuYu kajala hana Adabu paula yeye ni Nani mpka Apate Adabu..huyu mtt kashaharibikaa kitambo

beshuuambarali
Автор

Mama malaya lazima mtoto hawe malaya tu

masoudhamoud
Автор

Kwani nyie yanawahusu nn ata angetembea uchi NI yeye niwangp wanavaa hvo mmezidi kuwafatilia Kwan ww mtangazaji uvai

maryammaryam
Автор

yani hayuko huru kabisa hata kuinama ni shida

thebosslady
Автор

Kashashindikana huyo k
Na kashaijuw atamuwez tena aaa wap asubir wajukuu2 hakun jengine chuchu hans ana mtoto mkali yy haing ndani anakz ya kutusumbu2 angekuw mweus hat asinge binuw makalio yake juuu

rukianassoro
Автор

Duu walimwengu mtihani walaah, yawahusu nini jamani?mtoto si ni wake?🤔 no comment hayanihusu.😷😷😷😷😷😷😷😷

aminanamoyo
Автор

Kwa kweli heb muacheni akiharibikiwa ni mtoto wake mwenyew hakuna atake mkomoa ni shauri yake maan hashauriki hapendek mpumbavu akipumba muache apumbae mwenyew acha aliweee huyo ataliw na ibra ampe mimba siku ziishe hamnasomaji hapo mwanafunz anakaa hvyo hebe achaneni nao wajing2

rukianassoro
Автор

Acha konde ale kuku na mayai konde anataka kiki

mwajumamakokha
Автор

Fateni yenu watanzania hamjakatazwa kuvaa wangapi wavaa uchi huyu tu ndo mwamuona. Ma star wangapi wavaa uchi fateni yenu

amilahally
Автор

Mwanafunzi wa chuo cha kudanga😎😎 wote wamejitoa fahamu mama mcharuko mtoto nae Baiskeli ya mbao, Sijui kaja akili zake kaziweka chini? Mama katolewa haya namtoto kabisa katolewa mishipa yafahamu,

sumayahfathi
Автор

Sio mwanafunzi huyo ni mtu mzima msidanganye dunia

zeinabaliali
Автор

What is the problem with people👥👤? Wangu nataka aje avae anything anajisikia kuvaa as long as hakuna MTU anamfurahisha isipokua nafsi yake. As long as she's happy😄😋 am happy😄😋. Wangu nataka hata atoboe masikio yote matundu mpaka juu whatever she wants ufanye as long as hajatukana mtu. Usifurahishe watu bali nafsi yako.

mkabilidorah
Автор

Jamanie mambo kizungu akivaa hivyo isiwe sababu kwenda kumtafutia wanaume of course bado nimwanafunzi hizo ni fashions mtu huharibika mwenyewe sio mavazi yangekua mabaya yasingeuzwa

jollyboss
Автор

Hapa hakuna mwanazunzi bwana.Hio ilikuwa kauli tu ili kumkandamiza Nakumupoteza kimziki rayvanny.hio ni chuki Na roho mbaya ya harmonize.ila bado sanaa

pascalkenga
Автор

Sasa nini inawapashida akivaa ivo?kilanguo anayo ivaa paula aijawai kuwa ndefu, nawala sio yy tu njomwanafunzi Ana vaa Nguo fupi.mtutolee umbea

justinjoshua
Автор

Nilisemaga hawa wajinga wasituzinguwe watu wakaona sisi wengine mapunguwani bado nampongeza Rayvany ulimwengu umtaelewa kesho mtoto mapepe kama nyimbo ya kingwendu.

Chapesamedia