Full Video ya Wabunge Dalaly Kafumu na Vicky Kamata Wajiuzulu

preview_player
Показать описание
DODOMA: Mwenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge, Viwanda na Biashara, Dkt. Dalaly Peter Kafumu, makamu mwenyekiti wa Kamati hiyo, Vicky Kamata wamejiuzulu nyadhifa zao hizo leo Machi 20, 2017.
Wabunge hao wamesema wamefanya uamuzi huo ili waweze kupata muda wa kutosha kuwatumikia wananchi majimboni mwao.
Aidha viongozi hao wameeleza sababu za kuchukua hatua hiyo kuwa ni serikali kuingilia majukumu yao katika utendaji kazi na hivyo wakaeleza kuwa hawaoni sababu za kuendelea na majukumu hayo.
Kafumu ni Mbunge wa Jimbo la Igunga (CCM) ambapo Vicky Kamata ni Mbunge wa Viti Maalum (CCM) akiwakilisha wanawake wa Mkoa wa Geita.
Wamekabidhi barua za kujiuzulu kwenye ofisi ya spika wa bunge jana.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ahsante jaman mmefanya busara sana maana muda hautoshi

hassankayla
Автор

muachieni nchi huyo anaye fanya kila kitu maana yeye Rais kazi za wazili anafanya yeye kazi zote yeye.

selemanilisecamp