MWANZO MWISHO HARMONIZE ALIVYOPIGIWA SHANGWE BAADA YA KUSHTUKIZA KWENYE STAGE IBRAH AKIWA ANAIMBA

preview_player
Показать описание
Ni kutoka kwenye Uwanja wa Nangwanda Mtwara inapofanyika show ya msanii Ibraah, sasa Linah amekuwa miongoni mwa wasanii waliomsindikiza.. Play kutazama VIDEO
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwa research yang Harmo anasikilizwa sana kwa sasa❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

Chrishenryson-beats
Автор

Ni moja ya wasanii wenye nguvu pia, he deserved, very humble Artist

worldhappiness
Автор

Ibrah anajua sna ila zatizo jukwaani anavibr dogo sana harukiriki anaimba kama anashoote video abadilike kwa hapo

mrhomeelectricaldesigner
Автор

Hongera san kaka nawakubali san Mungu Azidi kukutia nguvu

sylvesteraspenas
Автор

Ukweli jeshi anajua weka like kama uko pamoja na mimi

kitomangatv
Автор

Duuuh asee kweli Harmo kipezi cha watu noouma Sana 🙏🙏

nanduleramadhan
Автор

Thank you so much my❤❤👏👏harmonize👑❤❤👏👏🇨🇩🇺🇲

byamungunene
Автор

Pongez kwa fans wote mliojitokez mtwar stadium Mungu awabarik sana mm nipo nyuma yenu

aminatanzanya
Автор

🤣🤣🤣eti amo alikuwa anawaambia watu wAmtwala kiluga akipanda msimshabikie mond unga mbaya

youngbilioners
Автор

Sina lakusema wa nikubalisha kwakweli watuhote waliyoshiriki mutwara na wapenda sana hadiraha bimepitavizuri sana mungu mukubwa sana 🙏🙏🐘🐘🔥🔥🔥

nahimanajo
Автор

Thanks you so much my ❤❤👏👏harmonize❤❤👏👏🇨🇩🇺🇸

byamungunene
Автор

Harmo kawa moto sana ndiomana hawaishi kumpiga vita ila tupo nyuma yako dua twakuombea mashabiki zako ila mbona kila chaneli naona sauti, mbaya jaman

mariamuhamadi
Автор

Konde bay atawauwa wasafi uko unatisha saaana bro kiukweli 🙌🙌🙌🙌👑🇶🇦

malikzafarani
Автор

Ibra jifunzeeee iupiga live perfomance...

amrimwingwa
Автор

Wale walomdharau nadhan midomo wamefunga maan mhhh nyomi si la kitoto walah

munaahmed
Автор

Nikiwa iraq hii show ilikua yamoto ibra h alipokelewa vizuri hivyo ndivyo inatakiwa

maimunamartha