'MV. MWANZA HAPA KAZI TU' UJENZI 39.6%, WAZAWA 150 KAZINI

preview_player
Показать описание
Leo march 8, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Dkt. Leonard Chamuriho ametembelea ujenzi wa meli mpya ya Mv. Mwanza hapa kazi na kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi ambao hadi sasa umefikia asilimia 39.6 pia amefurahishwa na idadi kubwa ya wazawa wanaofanya kazi kwenye huo mradi ni zaidi ya 150 huku raia wakigeni 16
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

#MAGUFULI MOTO SANA
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

mashashpastory
Автор

2005-2015 ccm ilikosea sana. Baada ya JPM ccm msikosee tena!

beaugosseadam
Автор

HAYA MAMBO MBONA SIMPLE TU SEMA BAADA YA UNCLE SIJUI ANAEINGIA HATATUANGUSHA KWELI

revocatusedward
Автор

Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

temkezatv
Автор

Naomba waandisi wazawa wachukue maarifa hapo ili baadae waje kujenga meli nyingine

tonitonito
Автор

This guy is serious with his mwanza, i hope maraisi wengine watajifunza kukusudia miradi ya kwao bila uoga.eg majaliwa akiwa raisi ajenhe treni mtwara-malawi. Mtwara-dar.bila uwoga maana tunayaona mwanza haijwahi kutokea kokote.this is called regionalism

haider
join shbcf.ru