MAPYA YAIBUKA NYUMBANI MUME ALIYEUAWA NA MKE MOSHI 'ALIMJENGEA MKE MDOGO FAMILIA HATUJUI'

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mwanamke mwenzangu ukiona ndoa yako haina amani mwachie Mungu, chagua wanao, hakikisha wanapata elimu na malezi bora, jipende, jithamini, jipe raha, naamini utakuwa na amani sana ktk haya maisha. Mwanaume akikengeuka ni Mungu tu peke yake anaweza akambadirisha, hata upige kelele unajiumiza, hakikisha unapambana na kulea wanao mengine mwachie Mungu.
Inasikitisha kuwaacha watoto yatima na kupoteza mwelekeo hasa ktk dunia hii ya sasa, Mungu tusaidie wanawake

annarosegodfreymuro
Автор

Haya miungu ya duniani najua uyu mwanamke hakupanga kumuuwa mume wake jumbo povu tu limemuangukia ila maumivu ya kusalitiwa anayajua Mungu mama wa watu na kwenda jehanamu ndogo leba mara sita bado kiumbe cha Mungu kikatafuta mwingine na tisa kumi kamjengea kimada yamkinii mwanamke uyo alilala njaa alipokuwa anatafuta na uyo mwanaume leo kimtu kinakuja kumenya tu kwa kuondoa ukakasi eti mke mdogo toka lini wakristo wakaoa wake wawili binadamu tuache unafiki hao mashemeji, mawifi na wanaona mke kakosea sana ingefika kwao wangefanya ukatili mara tano ya hivyo

ACHP-o
Автор

Unazaa na mwanaume watoto 6 unamuuwa kwajiri ya bi mdogo watoto wanakuwa yatima kwajiri hasira za kipumbavu😭

nesielias
Автор

Trust me mtu Wakulaumiwa ni aliyeingilia ndoa ya watu 😢😢sababu angetulia na amuache mume wa watu yote haya yasingetokea.Ndoa na iheshimiwe na watu wote

palokuthereza
Автор

Mtuhumiwa Ali mpenda sana mumewe jmn, ukiona mwanamke kakuzalia watoto wote hao ni kweli alikupenda kwa dhati na ndio mana ilimuuma sana kuona mwanaume kama ni watoto nimekupa lkn bado hawakutoshi unaenda kuongeza wengine unahamisha mapenzi kwa wanao wakubwa unapeleka kwa mchepuko hii inaumiza sana kwa ambae hajawah penda na akatendewa hivi anaweza ona ni mwanamke mkatili lkn hii ipo na inatokea sana tu mungu atuepushe kwa kweli

EddahBure-teft
Автор

Mwanaume anakuwekea mazingira mazuri Ivo bado unamuuwa si umuache Aende Mimi hata akiamia ili mradi watoto wanasoma, awalali njaa na maisha yanaenda aende tu na njululu yake

GetrudyGt
Автор

Kwa wakristo hakuna mke mdogo ni hawara au mchepuko na Kuna Siri kubwa hapo hiyo ndo shida ya kutotulia na mke wa ndoa inauma mume unamzalia watoto 6 na Bado anachepuka u Malaya siyo mnzuri

asteriashios
Автор

Siyo lazima mtu ajue kama alimjengea au la Wanawake wengi tu wanajengewa hata pasipo kumzalia mradi alimpenda. Na pia inategemea mwanaume anapitia changamoto zipi huko kwa mke wa ndoa au huwa tu ni tabia za wanaume Fulani tuwaombee Wanaume wote Pumzika kwa Amani Baba wa Familia 👏🏾

ubongosahihi
Автор

Hata mkificha lakini kidini Yule sio bi mdogo mchepuko tu mke mmoja tu

hawaa
Автор

Wakiristu mnajidanganya mke moja mungu arivyotoa mandiko howeni wake zaid ya moja arijua wanaume hamridhiki na mke moja na amuwezi tamaha mnazo nyingi na nguvu, , , na pya mke uriehaza nae maisha hacheni zarau ukiowa mke mdgo

micdchb
Автор

Kama aliweza kubeba kisu mpaka eneo la tukio, kaona kabisa huyu ni mume wangu, na bado kamchoma kimoja tu kikamtoa roho, alidhamiria hakika na alitenda kwa ujasiri na nguvu zote.
Hii ni dhahiri kuwa hata huko ndani hakua mtu mzuri, alipenda kumtawala mume,
Na si ajabu mume kavumilia mengi kashindwa ndipo akajiongeza.
Hebu imagen mke ana drive prado mume rav4,
Kweli alikua ampendi?
Mke mwema ni yule anaeona changamoto kwenye ndoa yake zinazidi anaamua kukimbilia kwa Mungu na Mungu huwa hamuachi mke wa namna hii.
Nimewaona wengi na Mungu huwatetea.
Sijawahi olewa lakn

superwomanmwenyeheri.
Автор

Alhamdulilah kwa kuniruzuku kuwa mwislam haki sisi wanawake wa ki.islam hatuna mbaya mume anaoa na maisha yanaendelea binafsi mimi nipo kwenye ndoa ya wake wa 3 na bado nafasi 1 jimbo lipo wazi na tuna Amani hakuna kuchoma visu

lsujflo
Автор

Mashemeji nyinyi.unasema humfahamu alafu unasema uliongea na shemeji.alafu Malehemu ana watoto saba na kwa b mdogo mmoja.ndugu wa mume pepo mtalisikia tu.

ShukranMwakyambo
Автор

Hawa wake za matajiri hapa moshi hawajafundwa wala kufuzwa, wana mavikoba yao wanachaguana eti wake za mabosi kwenye mavikao yao wanakunywa mapombe na kufundishana upuuzi usiofaa mbele ya jamii yeyote. Vitambi vyao huwezi kuvibeba

cosmaskulaya
Автор

Nyumba nzuri hivyo nahangaika na mke mwenzangu natulia nakula tu hata maua, ,maamuzi magumu , ,pumzika kwa amani marehemu🙏

mwasitigervas
Автор

Naona wanawake wengi wanacomment eti wangewekwa kwenye nyumba kama hiyo wangetulia, hayo ni mawazo ya kimasikini sana, mnajuake kama mwanamke ndo alkuwa na kipato kikubwa zaidi ya mume?na sio rahis kuaacha vitu kirahisi hvyo esply kama kuna pesa tayari, watu hawalali kuzitafuta hizo pesa so akikumbuka hekaheka alizopitia ndo matokeo yake yanakuwa hayo, sisuport kuua mtu ila mnahukumu sana

privasara
Автор

Hasira hasara tujaribu kudhibiti hasira zetu maana huu ni mtihani

SuleimanKhdija
Автор

Duuuh😢😢😢 shetani shindwa kabisa mjumba wote huo unaumiliki, biashara gari vyote hivyo unavyo ungemuacha hata ahamie hukox2 duuu..😢 pole sana

jeangodelo
Автор

Kama alikuwa na uwezo wa kumiliki wake wawili kulikuwa na shida gani?mbona wenzetu wanaoa wake 4 na heshima inakuwepo tu?

sophiakimaro
Автор

Nikweli inauma sana kusalitiwa lakini vyema tujitahidi kuzuia hasira zetu ona sasa watoto wanakosa malezi ya baba kwa sababu ya hasira ya mama.

mgesizablon