BEKA FLAVOUR - POA POA (Official Video)

preview_player
Показать описание
#BekaFlavour #PoaPoa #NgommaTz

©2020 Administered by Ngomma VAS Limited.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jamani wapi likes za Beka flavour👍👍👍👍👍 From +254 much love❤❤❤❤

bonfacemwashi
Автор

This guy is so talented. His voice is out of this world.😘😘

roselinefdoe
Автор

duuuh!!! yamenitokea pia mimi lakini sawa nyimbo imenikumbusha mbali @BekaFlavour more love from +254 more like jamaa

allymusa
Автор

Daah! Kumbe ngoma kaliii hiviiii. Mwanzo nilikuwa naichukulia POA POA kumbe sio POA Dadeeeeki..

chipembelesaid
Автор

Beka Flavour has never been given good air play in Tanzania but he still makes it to the limelights. I love this guy. He's hard working. He's great.

kasauriamanofficial
Автор

Napenda sana ngoma za huyu msanii....napenda kweli, , sauti yake nzuri tena

monicahvyalu
Автор

POA POA imefanya vzr sana Kama unaikubali gonga like

upendomasai
Автор

Ninakufuata kutoka Chad🇷🇴🇷🇴, wewe ndiye bora zaidi, après libébé, c'est celle là💪✌️👌

remsj
Автор

*Beka flavour* unapata taabu sana yule Dem ulimpenda kupitiliza na ulijiamini huwezi kuachwa
*Moyo wenyewe mmoja huu yanini kuupa ma presha*
Ngoma tamu sana

chrissjoel
Автор

This song made my EX back Asante sana Kayumba❤

isajuma
Автор

Dogo endelea uko vzur, ondoa tamaa ya kule kaza kivyako mungu hatokutupa. wasipokubali binadamu watakubali majini mana ameumba binadamu na majini

mustaphawaziri
Автор

Beka you're the best singer. That's my opinion u be dropping hit after hit 🔥🔥🔥🔥🔥

winnerboy
Автор

😭😭😭 too much love for Beka Is making me cry. Now this tune here is banging . Thumps up 👌👌👌👌. This TZ Male artist are not here to play

sweetlove
Автор

Beka beka kwasauti tz nzima huna mpinzani 😍❤❤❤❤❤ afu kanyimbo kweli

fatumadjumbe
Автор

Talent✔️
Voice✔️
All Beka need is promotions on his work and a good management.He is an underated musician but very promising.Where are my likes wadau?🇰🇪

mcguccitv
Автор

Si eti Nini from Kenya I love this guy. He's very humble Hana mbio.

makoriobed
Автор

Wimbo mkali chupa kalii nakubariii Xn Beka mweny flavour zake

kipondasd
Автор

I feel you miss your fmly bro!piga moyo konde...kama Mungu alipanga ni wako atakurudia tu inshallah ngoma Nzuri!

shiksshiks
Автор

Pamoja sana beka morogoro tuko nyuma yako usituangushe we ndo tunakutegemea, alaf napenda huo muonekano ulionyoa ndomzuri usibadilishe

latfaa
Автор

Yamoto band was amazing 😍🙌 can't wait come together again guys love from Kenya 🍻😊😘♥️

franklinkarani
join shbcf.ru