CHUPA: JINI LILILOISHI KWENYE CHUPA

preview_player
Показать описание
Filamu hii nairudisha tena hapa kwa mara ya pili baada ya kuondolewa kutokana na matatizo yaliyo nje ya uwezo wangu.
Ni kisa kinachomuhusu kijana mhangaikaji wa kijijini aliyeokota chupa bila kujua madhara yaliyomo kwenye chupa hiyo. Makubwa yakamkuta.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Muda mrefu upo kimya sana Bwana Sultan Tamba.,

emanuelkyomo
Автор

Mmmh sasa wawili t ndug zake awatoingia jaman watanzia tumezid uong 😆😆😆

Neyjohn-tr
Автор

Mbona kimya tuekee muendelezo ep ya 6 hii tushaiyona

rahimaidd