MASTAA WANAOPENDEZA ZAIDI TANZANIA 2019

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Diamond ajui kuvaa bhana...jux namba 1

inocentgalinoma
Автор

*DIAMOND PLATNUMZ* no.1 hakuna kama yeye no.2 ni *Hemed Suleiman*, no.3 ni *Jux*, NNE ni *Idris Sultan* no.5 ni *Ommy Dimpoz* hao ndo top 5, kama unakubaliana na Mimi gonga like

officialmrtop
Автор

Namkubali sana jux
Mwana mitindo
Msanii anaye juasana kuvaa

deebrown
Автор

Mond hukojuu saaaanaaaa 😁mtu wangu wambele mbelele

kisombolaestate
Автор

Ommy dimpoz na Dogo janja na nedy music

tozbtz
Автор

Ndio itabid muengeze listi nyengine kunawasani mukiwacha kuwataja irakuwa hamuwandendei haki kn Rammy na yeye yuko vizuri kwa kuvaa napendeza anavutia kinoka sana yan hensam boy

marijanimohamed
Автор

List mbovu sijapata kuona, unamuachaje ommydimpoz ktk ii list nan asiyejua kama dimpoz best ktk kuvaa, jux nakubaliana na wew ila aowengine amna kitu.

miriamfashion
Автор

mmmh mbayaa wapo wengii ila nedy xjui kaachajwe

hellenhx
Автор

Umsahau dogo janja we hiyo list yako fek hapo jux tu namkubali

linahnicodemus
Автор

Jamani umemsaha RAMMY GALY nae yuko vuzuri kwa mavazi

marijanimohamed