MIMI YESU NIMEMTUMA MALAIKA | SONG LYRICS | AMKENI FUKENI CHOIR | TRENDING SONG

preview_player
Показать описание
Mimi Yesu - Amkeni Fukeni Choir

...

mimi yesu nimemtuma malaika kushuhudia maneno yale ya unabii yaliyonenwa na yohana natazama naja upesi na ujira wa kumlipa kila mtu na kazi yake mimi mimi ni alpha na omega asema

bwana

mimi yesu nimemtuma malaika kushuhudia yale ya unabii yaliyonenwa na yohana natazama naja upesi na ujira wa kumlipa kila mtu nmanenoa kazi yake mimi mimi ni alpha na omega asema bwana

naja upesi shika sana ulicho nacho usinyanganywe (×2) nasi tuimbe tumtukuze aliyekuja kutukomboa

na yohana alikwenda kushuhudia mambo hayo alipofika na kuyaona alianguka na kusujudu

natazama naja upesi na ujira wa kumlipa kila mtu na kazi yake mimi mimi ni alpha na omega asema bwana #gospelmusic #music #christianmusic #gospelsinger #trending #christiansinger #christiansong #god #jesus #duet
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

this powerful worship song, expresses a deep yearning for the living God, emphasizing themes of deliverance and divine assistance. The lyrics reflect a heartfelt plea for God's presence and intervention in times of need. This song resonates with anyone seeking spiritual solace and strength, inviting listeners to connect with their faith on a profound level. Join us in this uplifting experience as we seek the help and guidance of our Creator.
#God #Jesus #holyspirit #christiansong #gospelmusic #song #gospelentertainment #christiansong #gospelmusic #trending #trendingreels #reelsfb #comedyvideos #churchfunny #comedywithchrist #newestsong #kevingombe #munguuliyehai #munguwauzima #kevingombemusic #rhumba #rhumbagospel #rhumbagospel mix

heavenlyharmonieshillarylight
Автор

Wao kuna dem alikua aniimba hii kwaya kwa the wamboi wakina nyambu nlikua mdogo but uyo nyambu alikua anapeda hii juu y dadake

TeresiaNjoki-oxqf
visit shbcf.ru