Y TONY - Wivu Wangu...(Official music video) 2016

preview_player
Показать описание
Published on 10 July 2016. This song "Wivu Wangu" has been released through his record label and management company "FRESH CODE ENTERTAINMENT KING" produced By Sheddy Clever & Directed by Pablo.

Fans can also follow Y Tony on his social media and official digital networks:

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama unaskiliza hiki chuma mpaka leo 2024 dondoshaa like hapo

LamwaiMfinanga
Автор

Nani yupo huku 2025 wapenda mziki mzur

djoe
Автор

2020 Naisikiliza Hii Now, Likes Twende pamoja

joseph_theresa
Автор

Toka wimbo umetoka miaka hy leo ndo umekuja kuniumiza asee 😔 isia kal 2024.

Mrpembe
Автор

Hi nyimbo nimeitafuta zaidi ya miaka sita leo nakutana nayo jamani

habaritvtanzania
Автор

Niko hapa sahihi gonga like twende sawa 2024

perfectpixelsstudio
Автор

Tatizo sio mm wivu wang naumia mwnyw nampenda lkn xio fungu langu nalia mwnyw Dah 2019/2020 hiyo ngoma inayeya xichoki kuitazama

mariamjoachim
Автор

Yan u wimbo nimeutafuta tangu 2017 atimae nimeupata 2023 yan nilixha usikiaga ila mwimbaji nilikuw
Cmfahamu

yuzzomalebo
Автор

ingelikuwa mapenzi ni uganga zamani ningesha mrogaa ilaa nadata na yeye kanichanga kazi navuruga Aiseee namkubali sana uyu jamaa good voic good sing nice every thing big up my brother

kassimsaidi
Автор

uwiiii jaman huu wimbo siuchoki enhee hujawah kukosea my dear

elizabethfransic
Автор

Huu wimbo nilikua siupendi ila sasa alipokuja kuniumiza Daaaah ndio ukawa faraja kwangu kila siku nausikiliza. Big up Yton. Moro stand up.

jamesdimosso
Автор

Daah hii nyimbo stakuja nsahau.. bt all in all 2019 sasa dah

yohanaayeko
Автор

I Love This Song xoxo man this is a real deal Loving its replay on my system .... Cnt wait to hear more from yuh

takeshieduardo
Автор

I'm always behind your songs.you never disappointed myself since your first song.keep it up

richardelias
Автор

napenda hii nyimbo coz inanifanya nisichoke kumvumilia mpenzi wangu, i know one day he know how much ilove him

salvatakiseo
Автор

Tatizo so mm wivu wangu naumia mwenyeweee nampenda lakini wap husna

turamgese
Автор

Kazi ni nzuri tena imetulia.. i love, bigup mzito (jan 2020)

jameswairegi
Автор

hii ngoma natangaza kuwa ngoma yangu 2017 big up brother

youngfrava
Автор

unafanya kazi vizuri tena huna stress..kaza buti u I'll rech the point..never give up

msasunkumua
Автор

Kunanyimbo huwa smzinagusa maisha ama Hisia za mtyu 2023 still nasikiliza mashaila

DanielMagubika
visit shbcf.ru