Bobi Wine : ''Nia yangu sio kumng'oa Yoweri Museveni madarakani tunataka uhuru Uganda''

preview_player
Показать описание
Mwanamuziki mashuhuri wa Uganda ,Robert Kyagulanyi kwa jina Maarufu Bobi Wine ambaye pia ni Mbunge amekuwa akielezea kupitia mitandao ya kijamii masaibu na mateso anayodai aliyopitia alipokamatwa na kuzuiliwa katika kambi ya kijeshi mwezi uliopita . Lakini sasa Bobi Wine amefanya mahojiano ya kipekee na Idhaa BBC akiwa hospitalini Marekani na kuelezea yaliompata.
Katika mahojiano hayo na Zuhura Yunus mwanasiasa huyo wa Uganda, Bobi Wine pia anafafanua ajenda yake ya kisiasa.

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Democracy imekuwa changamoto sana katika nchi za East Africa. Kila mtu analilia "free democracy"

charlesalphonce
Автор

Hahahahaha africa dah noma sana sema hongera sana bob wine

hanschuma
Автор

Love my brother Bobi lots off kisses to Barbie

christineisabiryetusubira
Автор

Namuombea kila la Heri katika kuhakikisha Uhuru unapatikana. Mimi bado nasema na sijui nilitoa wap huu usemi lakini Uhuru ni moja ya uwongo mkubwa duniani hasa katika Siasa(freedom is one of the greatest political lie). Sasa watu wameanza kuelewa

abdallahhamisi
Автор

bobi wine poe sn my bro ayo njo maisha ila mng atakujali utapona

gerahassan
Автор

na mpenda Bobi..kwasababu anaongea luga ya africa wa nauganda tunataka mabadiriko....democracia ya' usawa

asiimweismail
Автор

Dah kuna wavulana na wanaume katika siasa za Afrika Bobi wine na Tundu Lissu ni wanaume. Mungu ni Mwaminifu wewe ni raisi ajae wa Uganda nakuombea kwa mola

goldenjournalist
visit shbcf.ru