Msanii Wa Kwanza Kwenye Lebo Ya Nandy Yammi Akiimba Live (Nakuchukia) Wengine Wamfananisha Na Zuchu😳

preview_player
Показать описание
Kutoka Lebo ya The African Princess msanii wa kwanza kusainiwa na lebo hiyo inayomilikiwa na Nandy, alitambulishwa leo na kuachia nyimbo zake 3.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Huyu dada anasauti nzuri yakuimbia Qswida😘

mjukuumoraa
Автор

Tanzania kuna music mizuri jaman I love you yamiii mungu akushike mkono ufike mbali pia nandy mshike yamii mdg wako

latifashani
Автор

Yammi you are very my role model ufike mbali zaidi

helenfoidy
Автор

She's really perfect but looks alike with Paula kajala

taylorannice
Автор

❤❤❤nko nalia mim cjui mam ake ako na hali gan jmnii mungu akutangulie beb umeanz vizur saan my love

ruyirucky
Автор

yani my dear unajua unajua unajua natena nimeipenda namchukia🎶🎧🙌🏻😭😭❤️❤️

nairatomar
Автор

Mashallah mungu kakupatiya sauti nzuri👌💗

aminahashem
Автор

Sio kweli Hana kipaji labda kama karogwa

mudarisuburhan
Автор

wahuni washampiga na kitu kizito binti wa watu masikini.

mrs
Автор

Hakuna saut hapo Yani huyo dada kipaji chake ni low talent

mudarisuburhan