KAMISHNA WA POLISI MOROGORO CP AWADHI AFIKA ENEO ILIPOTOKEA AJALI NA WA TU 14 KUFARIKI, 'NI UZEMBE'

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Barabara ya morogoro kwenda dar nyembamba ijengwe upya au iongezwe ziwe njia nne

TwahiliHaridi
Автор

Barabara ya morogoro kwenda dar nyembamba ijengwe upya au kuongeza barabara mbili ziwe njia nne

TwahiliHaridi
Автор

Yan mtu unaweza endesha mwendo wa kawaida na kwa uangalifu lakin watu wazembe kama hao ndio wanakuja kukuletea ajali jaman. mungu atulite tutokapo na tuingiapo

rehemangolle
Автор

Innalilah wanna ilah lajighuni Allah awarehemu 😢

halimahalima
Автор

Hii ajali Jana natoka Moro kwenda chalinze tulisota Sana njian dah wapumzike kwa aman marehem wote😭😭🙏

PaulinaSemindu-obde
Автор

Hapo kwenye hiyo ajari Kuna jamaa yangu alikuwa anaitwa john alikuwa tabora wilaya sikonge huyu jamaa aliondoka ijumaa akaniaga akasema anaenda kuhani msiba wa mama yake mkubwa katoka kuhani huo msiba Kuna ndugu yake yupo kibaha hapo akawa anaunga kwenda kumsalimia masikin hata dar hajafika kafika kwenye hii ajari...rest in piece sana Mr John matondo

japhariabasi-ik
Автор

Kwanini ikishatokea ajali wanssnzia na uzembe wa dereva .haya maeneo ya HATARI ndio hasa askari wa USALAMA BARABARANI walipaswa kuyaangalia Sana kwaajili ya madereva wazembe. Hao madereva wanaootea kwenye Kona ni wengi Sana kuanzia mabasi Kisha magari ya serikali V8, Prados, land cruisers .ndipo na yamizigo kwa uchache na hayo dereva anaweza kuotea kwavile safari zao Huwa wanasimamishwa Sana maranyingi na TRAFIKI kuliko hayo magari MENGINE saingine kashavurugwa baada ya KUSIMAMISHA na aliemsimamisha akachukua leseni na kuendelea na shughuli ZINGINE bila kumjali kama nae yupo kikazi kwavile ni roli hakuna kukagua anasubiri useme akuanzishie jambo INABIDI uwe mpole mwisho ni kiwi na maji yakunywa

frankjohn
Автор

Awadhi alitaka kukutawala sisi huuyo hapa unguja hauwezi

HarithSalim-lx
Автор

Bendere mbil ni Kagera iyo na sio Kwa mdoe

SabiamSuleimanmtwalo
Автор

Ajali za uzembe wa waendeshi.magari.
Matrafiki wanakomalia kukagua magari kama yana vizima moto bafala ya kushughulikia upungufu wa weledi wa waendeshi ktk kutumia barabara.wrong/dangerous overtaking ni fatal kuliko kutembea miaka yote bila kizima moto!
Cp Awadhi wa kushughulika na op za kushika wacdm mbeya -hata akifika kwenye ajali mbaya, hakuna anachosuluhisha!!

xaixaiobrigado