RAIS MAGUFULI Ajibu BARUA ya KIKONGWE kutoka JIMBONI kwa MBOWE....

preview_player
Показать описание
RAIS MAGUFULI Ajibu BARUA ya KIKONGWE kutoka JIMBONI kwa MBOWE....

Bibi Hawa Juma kutoka katika kijiji cha Masama Wilayani Hai amemshukuru rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa kumrejeshea Aridhi yake ambayo aliahidiwa na serikali kuwa atarejeshewa zaidi ya miaka 22 iliyopita baada ya kutoa aridhi yake kwaajili ya mnada kwa serikali.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Daah ...hlf mjinga mmoja mwenye maisha mazuri anakuja anawaambia magufuri mbaya, , anatushauli tuchafue amani ya nchi yetu ili wapige pesa.tunasema hivi sisi hatukubali hata kidogo

enockelisha
Автор

Global Tv asanteni sana hongera Magufuli sana sana

welcome-qkps
Автор

Mungu endelea kumbariki Raisi wetu tunajivunia kuwa nae miaka mingi kwake

eliswed
Автор

Safi kabisa kiongozi na hu ndio utendaji bora ubarkiwe sana kiongozi wetu

jomba
Автор

Mimi hapa chozi la furaha limenitoka baada ya kuona bibi anakuombea Raisi wetu. Mungu akulinde na akuongezee maisha marefu. Hakika kwa miaka mi5 ijayo tutakuwa tumenyooka na kupata haki zetu zooote

happinesslyimo
Автор

Mungu akuangazie nuru ya Uso wake Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!!

davidnkya
Автор

Mzee magufuli kama umeyana machozi ya huyo bibi amini kuwa nimachozi ya furaha kwa ulicho mtendea hata mimi yamedondaka kwa furaha wa nanchi tuna kuombea barikiwa

mathayodundo
Автор

Haijalishi ni mda gani lakini subra ya vita heri Ahlla anakuona popote ulipo haki yako utapata (waswahili wanasema haki ya mtu aipotei, ) hatamtu akikudhulimu nyumba wewe ilia Na Ahlla atakuja mtu bila kujua atakuambia chukua haki yako au utapata zaidi ya ile nyumba Na mtesi wako ataangukia PUA, GOD BLESS YOU

adammjomba
Автор

Walai kama kuna m'TZ yeyote ambae atakua ana mkashifu Dkt Magufuli kwa njia moja au ingine, huyo atakua ni HASIDI TU..kutoka 🇰🇪,

karanidicky
Автор

Nimejisikia mwenye machozi ya furaha kwa wema aloutenda rais wetu JPM kwa huyu bibi.Mungu akubariki rais wetu.

maluguJr
Автор

Magufuri ni zawadi tuliopewa kutoka kwa mungu

anuaryally
Автор

Mungu ambariki jpm na ss tunateseka ngorongoro tunakuomba uingilie Kat rais wet wa wanyonge mkoan arusha

saningotobikongotiek
Автор

Mungu amlinde Magufuli hongera sana from Oman

welcome-qkps
Автор

Ahsante mhe magufuli kwa kusimamia haki za wanyonge

ashritaabdallah
Автор

Alie ona kihereni cha bibi puani twende sawa

faithlukosi
Автор

Mungu aendelee kukupigania Mheshimiwa Rais JPM

brilliantkidemi
Автор

Huyu ndiyo rais anatumia mizani ktk kazi yake.

isangojambau
Автор

Ila kwann uondoke madarakani mapema hv kaa nasi baba ata kwa miaka20 tu.

felixmuzambele
Автор

kiongozi mwenye busara kwa wananchi wake mr j p magufuli TZ mumepata.

mombasaali
join shbcf.ru