🔴LIVE:UTACHEKA!! JIMMY KINDOKI ALIVYOJITETEA KUFUNGWA NA SIMBA, ATEMA CHECHE KWA MKAPA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

😂😂😂 jamn diara yupo hospital anaumwa makagali sio kwa bunduki ya kibu

GabrielManyaji-zlzh
Автор

Hiyo timu yako ambayo sio mbovu. Mbona mpo shirikisho

sofiahamis
Автор

Sahauni ubingwa wana yanga mana Mechi tatu ugenini moja nyumban,
1.Singida atawafunga 1
2.Mbeya City mtasuluhu
3.prison mtawafunga,
Hamtaamini macho yenu

daddybenny
Автор

Kindoki we muongo muongo chokotuu mnafiki umelowaaaa chawamkubwaa

saidmngai
Автор

Wewe junya ulifikiri unacheza nakagera

abdullatifshambe
Автор

Sio kwamba wamemuangusha ila tu walizidiwa na mafundi tu Simba wazuri tu mnajua mbona

scollamwanisisi
Автор

Kinacho tushangaza wananchi ni kufungwa na team mbovu😢

guccij
Автор

Simba Wao wamefurahi kuifunga Yanga na YANGA wanafurahi kuongoza Ligi Kuu. Simba iko nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa Ligi Kuu ni tangu lini ktk nafasi hiyo. Hongera kapunguza points 3 ila bado anazunguka palepale. Jana ilikuwa furaha ya YANGA leo furaha ya Simba. Simba amedumaa ktk nafasi ya pili

simonndunguru
Автор

Mpuuzi wewe eti pira tupe hapo jangwani ni nyika

gregoryshao
Автор

Acha janjajanja zako wewe umezidiwa Simba ni ya moto sanaaaa

BuruhanImamu-btic
Автор

Huyu jamaa ni mpumbavu sanaa hajui hata mpira wakati refa mwanamke amewabeba kwa offside za hovyo

AdamFundikira-kkoj
welcome to shbcf.ru