Je FIC NI SCAM ? Ukweli wote F.I.C Tanzania

preview_player
Показать описание
YouTube Video Description (SEO Optimized for "FIC Investment" & "FIC Tanzania")

🔴 FIC Investment ni UTAPELI? Ukweli wa Kushtua! 🔴

Je, FIC Investment ni njia halali ya kupata pesa au ni Ponzi Scheme inayowapotezea watu fedha? Katika video hii, tunachambua kwa kina jinsi FIC Tanzania inavyofanya kazi, ishara za utapeli, na ushahidi wa watu waliopoteza pesa zao. Usijiunge kabla ya kuangalia video hii!

Mambo Utakayojifunza:
✅ FIC Investment inafanya kazi vipi?
✅ Dalili za Ponzi Scheme zinazofanana na FIC Tanzania
✅ Ushuhuda wa waliowahi kupoteza pesa kwa FIC Investment
✅ Jinsi ya kujilinda na utapeli wa aina hii

⚠️ ONYO: Epuka kupoteza pesa zako kwa miradi isiyoaminika! Shiriki video hii kwa marafiki zako ili kuwasaidia wasitapeliwe.

🔔 Subscribe kwa video zaidi kuhusu utapeli wa mtandaoni na njia salama za kuwekeza!

#FICInvestment #FICTanzania #Utapeli #PonziScheme #Uwekezaji
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wangap tumerud kusikiliza tena baada ya fic kufungwa, tujuane kwa like😂😂

officialgvanny
Автор

Ukiona uwekezaj mpya wahi mapema Don't focus on negative hakuna kitakacho dumu just ushauri

MohamedAdam-hz
Автор

Hii imeanza 2018 hapa Tanzania kwan hawajapata faida wakimbiee Siku zote mwenye roh ngum mafanikio yake yapo jirani

allykhamissabi
Автор

Ni kuweka Hela unayomudu kuipoteza, unaweza ukalima na jua likawaka, hamna sehemu salama 100

neemambise
Автор

Takataka sana bro… FIC ni uhakika acha upumbavu

nyandonashon
Автор

Tupo tunakula faida. Tuliweka pesa zikazaa pesa saiz tunakula

joviangeofrey
Автор

Woga wako ndo umasikini wako imeisha iyoooo

ediboutros
Автор

Tunazijua n za kitapeli ila tunadunda nazo

Rwambo-wnsh
Автор

Mbona hujagusia wao wanavyopata faida? Nimegundua hujui chochote zaidi ya kutafsiri hayo maelezo.

CephasAaron
Автор

Swali la msingi ni kwamba, Nani huyo mwenye Huruma na Sisi Watanzania? Yaani tuwe tunalipwa tu!? Huyo mtu anapata faida wapi? Wengine wanaaema ukila wanakata 5% kama faida. Sasa hiyo tunayokula wanatoa wapi? Na tunasisitizwa kuunganisha watu kila siku! Wanapataje faida kuhusu hao watu wanaojiunga?

saulomathayo
Автор

izi platform inabid ucheze kijanjaa ukipga pesaa ata ndogo wew pita chap

NICk-ioe
Автор

Zungumzia kuhusu Alliance in motion global (MLM) naon wanajiung vijana sn

Officialvplat
Автор

Ila hii application mbona vijana wengi kama hawaijui

mercuryplanet
Автор

Kwanza naomba nikurekebishe kidogo FIC sio" Football international charity " ila inaitwa "Football investment Company. Hii pia haisubiri mwisho wa mwezi kama unavyosema hii unaaingia leo na unapewa mpango wa timu unashinda kesho uneshalipwa, na ukiona haikufai hawalazimishi mtu kuwepo unaweza pia ukajitoa na wengine serious wakaendelea.

edwinalexander
Автор

kabla hawajajiita FIC walikua wanajiita ISS na walisepa na pesa za watanzania kibaoooo em fanya kuandika neno ISS youtube utaiona

simutengene
Автор

Fic sio utapeli na hakuna kitu ambacho haki last

wiseboy
Автор

Football International charity or football investment company?

jacquelinekahigi
Автор

Ukikusanya hela kwa public lazma uwe umesajiliwa na BOT sasa nenda kaangalie kama anatambulika huko tumia akil serikali ikimuibukia ina cease kila kitu na hamtapata hela zenu

zedekiahjulius
Автор

Alafu brother ukisharudisha mtaji wako uliowekeza ndani ya mwezi mengine ni kama faida uliyokuwa ukitegemea kulipwa nao na ikitokea hawapo wewe utakuwa umepata hasara gani?

edwinalexander
Автор

Alafu sio Football international Charity, ni Football investment company.

rodgerushindi
join shbcf.ru