Shikamoo baba, Dk. Mpango amsalimu Mzee Mwinyi alipokwenda kumpa pole

preview_player
Показать описание
Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Phillip Mpango amekwenda kutoa pole kwa Rais wa Zanzibar dk. Hussein Ali Mwinyi na baba yake Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Heshima Lea wazee wetu ni muhimu sana, haijalishi cheo

tanzania
Автор

Madalali nyote mutaenda kujibu mbele y Allah insha Allah

gangmore