Macvoice ft Mbosso - Only You (official Video)

preview_player
Показать описание
Follow Macvoice on

#Macvoice #Mbosso #OnlyYou
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Fundi wawili Wanapokutana matokeo ni balaa🔥🔥Asanteni Kwa kutupa mziki uliokwenda skuli💪254 Representing 🇰🇪🇰🇪

DogoCharlie
Автор

Ukicheka Mashavu Vishimo 🥰 Mtamu mpaka Visigino❤️ Mungu anaumba💃Mungu anachora🧚Mungu anayakata kata Maumbo👌👌 Only You 💞❤️💕 Mc Voice ft Mbosso Mm ni Shabiki Yenu ❤️💕 Wcb for Life

salumdaluga
Автор

Uyo mboso akuna waku pimanisha naye ni mukali sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩♥️♥️♥️

diakissd
Автор

Tunaozidi cheki hii ngoma tujuane 2024

pfoprzk
Автор

Muhindi wa kusini....haujawahi kuniangusha kaka👌👌👌👌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

bobmorefire
Автор

Valentine song is up macvoice and romantic king mbosso🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

AlphaBoyie
Автор

🇬🇧🇿🇦🇰🇪🇹🇿 unique instrumentals....kweli penzi ni fumbo si maandishi ya daftari🙌🙌🙌

cassyrex
Автор

Macvoice and mbosso my favourite song imeweza

unmzmsy
Автор

Kama wamkubali macvoice piga like tukisonga ngoma tamu mbosso never disappoint🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏

sammlay
Автор

Hii nyimbo kwa vile naskiza kila uchao inanijenga saana, Mbosso never disappoint oh#macvoice @nextlevel music, likes za kenya zikam via.

jacksolmusiq
Автор

The song is dope 💗💜, mbosso mbosso mmmm pliz have mercy on a nice melody 🤩🤩.singing wholeheartedly 💪🏿💪🏿💪🏿.more grace 💗💜

aubreythauzenphiri
Автор

Awesome lyrics by Mbosso Khan, Great voice talented Macvoice

anthonysergon
Автор

Kenyans in the house feeling the song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤

miriamcharity
Автор

Macovoice hiyo ngoma Iko sawa and mboso you never disappoint

pauitinga
Автор

Mwanangu itakuwa bora sana ukizingatia voice, , bado unamiondoko yavany jitahid mjitofautishe

aliymwanafuno
Автор

This boy is very talented, namuona mbalii Zaid ya baba yake, 🔥

johnerisha
Автор

Young of the best . Kutoka next level 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

castone
Автор

The beats za wimbo ni almost ya Kal ho naa ho..Mbosso ungekuwa tu SrK mara Moja❣️❣️🔥🔥

deibscassie
Автор

Mbosso hakuna mwingine wakukushinda nakupenda👌✌

syscaingabire
Автор

Handsome african mens with beautiful voices❤❤❤❤❤❤❤Love tanzanian music #🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦

lindelanimanganye