VILIO VYA TAWALA MWILI WA MARCO WA ZABRON SINGERS UKIONDOKA MUHIMBILI KWENDA KAHAMA KUZIKWA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Duuu poleni Sana wapedwa Mungu awaited nguvu.

NephewTablet
Автор

Mwenyezi MUNGU ampe pumziko la milele

jacklinakansapa
Автор

Mungu watie nguvu wafiwa poleni sana sote safari ye2 1

VeronicaMhina-lm
Автор

Pole Zabron singers na family yote kwa kuondokewa na mpendwa wenu, hata sisi ma fans wenu tuna huzunika sana na kifo chake, alikuwa mwimbaji nzuri sana, tuli mpenda sana, Mungu kampenda zaidi, Mungu ahi pokee roho yake mahali pema.

daynesakulu
Автор

Poleni sana Kwa familia Mungu akawe faraja na awape nguvu 🙏

vanessachriss
Автор

Poleni sana, Mungu awatiye nguvu famille yote,

winumirenadia
Автор

Poleni wapendwa its so sad! Eeh baba nipe mwisho mema

maryr
Автор

RIP Marco polen sana wanafamilia Mungu awatie nguvu

DianaMwamatepela
Автор

Jmanii naumia sana Marko nfo unaenda ivo

ChrissCalvin