Kingereza cha Shilole: Waweze Ku Sapu klaibu/ My husband she's calling me!

preview_player
Показать описание
Shilole bado anaendelea kujifunza kuongea kiingereza, wiki hii alibambwa na Bongo5 wakati anatamka neno subscribe ambapo alirudia zaidi ya mara kumi lakini akashindwa kulitamka.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

shilole si mtu mzuri mbavu zangu hahahaha ila love mingi mingi kama umemkubali shishi baby achia like

fortunatemathiasbarabara
Автор

Du kna kamchezo nakaon hku you tube cjui nko oman, npo india, npo chna nakupend sana ww dada duuuh wabong kwa kujkwez salute kwen

princeroy
Автор

Nimecheka hadi basi 😂😂😂shishi jamani ila nakupenda jinsi unavyoyakubali maisha mamaa na kukubaliana na hali we ni mwanamke na nusu love u soo much shilole ipo siku In sha Allah utakifahamu vyema kimombo....sio kwa bidii hiyo salute yako dadangu

mathalaishamsi
Автор

Serious nampenda sana huyu dada hajivungi yupo wazi ....na anaendelea kujifunza...big up

shuwenaghandi
Автор

😂😂😂lol I’m about to die bcz of lounging to much 😂😂😂we love u baby girl

tinakisubi
Автор

Hahaaha Huyu dada ananichekeshaga hatari. Nampenda ambavyo hajifanyi kujua. Yuko wazi. Kitu kama hajui anakubali na anafundishika. Siyo wengine wanajifanya kujua kila kitu. Big up Shishi babe

Mimi-wfmb
Автор

I predicted and here your are shish umepata mdhamini. Inshallah ndoto zako zitatimia

nikipandasishuki
Автор

Napenda sana huyu mama ako na bidii sana yakutaka kujua kizungu. Shishi nakuomba fika kenya tafuta mwalimu atakufundisha na amini ndani ya mwezi mmoja tu utakijua .pongezi kwa bidii

nikipandasishuki
Автор

napendagaa sana intervew zakooo shishii makopa meengi kwakoo wala hujivungi kuongeaaa penda sana ww 😘😘😘😘😘

nfbdbxbxbdb
Автор

Shishi nimecheka sana jaman nimecheka sana Dada yangu
Nakupenda

edwinsombi
Автор

Ha haaa..I know people we love me....nakukubali shishi

banziomary
Автор

Shilole ilove so Much Coz unajiamin napnda unavyo ongea kingereza haaaahaaaa ilike

esthereben
Автор

I love this girl... confident like no business!!! English is not a measure of intelligence... I love her attitude.

NungariwaMuchaiCeo
Автор

Napenda journalists wa Tanzania, mko sawa sana.

sharona.
Автор

Huyu yuko vizuri, anajitahidi sana kujifunza na ataweza tu kwa sababu haoni aibu kujaribu kuongea
I really like her

rahjah
Автор

The only thing that i love from shishi is dat she has the courage Of trying and knowing good English, am very very sure shilole days to come she will be eloquent in English interviews and some of us will surprise.

iddikogo
Автор

sheshe baby unanuiwa sana
mbavu zangu miye
nakupenda sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

nyinawumuntuzenaaliciaalic
Автор

Shishi nimecheka mpka mkojo kidogo unitoke(long life kwako dada Shishi coz sio kwa kunivunja huku mbavu

monicajulius
Автор

👊👍 pole pole ndio mwendo shishi. A step at a time. 👍

lilybett
Автор

sana, , , we love yuu, ,, shishi, , , Mama mpambanaji

magrethlairent