GSM KUDHAMINI VILABU SITA VYA LIGI YAIGUSA TFF KUJIBU!! WADAU WAHOFIA UPANGAJI WA MATOKEO NA RUSHWA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ligi ya kipumbavu Aina wadhamin Yani mtu mmoja anazamini virabu sita 😂😂😂😂😂

abubakarishariff
Автор

HAPO UNAULI SWALI GANI UKWELI SOTE TUNAJUA YANGA WALIKUWA NA MADUKA NDANI YA SIMBA ❤❤❤❤❤

AmurJecha
Автор

KAKA SIASA IMEHAMIA KWENYE MPIRA IMEHARIBU MPIRA WETU UKIHOJI SANA UTAPELEKWA KUSIKOJULIKANA NYAMANZA KAMA UNAIPENFA FAMILIA YAKO

SophiaWanene
Автор

Hii haikubaliki TFF walifanyie kazi timu 6 na yeye anatimu yake inashiriki humo humo

moudyhamisi
Автор

Ndomaanasimba Simba anapitia wakati mgumu nakila akisajili apatazania anapewa pingamizi basi tff watuambie kuwa atupaswi kusajili tazania tukasajili nje bilaivyo migogolo haitaisha

FabiolaTriphon
Автор

Tff wanafanya makosa makubwa ya kuruhusu yanga kudhamini timu 6 ni kinyume na maadili hawawezi kukwrpa lawama. Ni rushwa na upangaji matokeo hawawezi kujificha kwenye kivuli cha kusaidia timu. Wanatakiwa kufuata utaratibu. 3:48

jonathansirkintungi
Автор

Nikwel wanatuhujum make tajiri mmoja team zaid ya 5 so kwel

mwitamalwa
Автор

Kusema yanga bingwa sio hoja ya msingi tambua unajibu swali kulingana na ubora wa team uliyo ulizwa, kwa ufupi kunatofauti ya mdhamin na mmiliki wa team, bodi ya wadhamin wahawana mipaka maana wao wanaweka lebo kwenye jezi yako kama tu mtakubaliana kwa mkataba na lengo kubwa ni kuitangaza kampun husika ambayo utakuwa umekubaliana nayo, shida washaona hawana team za kushindana na yanga na ukichunguza wanao lalamika ni madunduka! Hohohoho aisee achen siasa mpira ni mchezo wa wazi tengeneza team yako ikupe matokeo, shinda mechi zako pasipo kumsikilizia mpizani wako sasa ww unapigwa alafu unasema gsm ndio shida hohohoho huo ni umbulula mpira umekua achen na hauitaj siasa hizo

Izzoh
Автор

GSM Hana lolote mpira haupo Ivo, unatengeneza urahisi wa kubeba ubingwa wa kihuni.

yusuphpatrick
Автор

Timu zinapambana kupata wadhamini akina Magoma wako pembeni kuwaharibia. Sport pesa anadhamini timu ngapi? Azam anatimu lkn katika hii ligi nani hapati pesa kutoka Azam?

josephmwise
Автор

Tff ni mafisadi mdhamini mmoja haiwekani kudhamini timu zaidi ya moja hizo ni hujuma za wazi wazi

DullahNyoni-crfu
Автор

Hapana shidaa ya tff wajitafakari hiyoo ni njamaaa hizoo timu wanampa yanga point tatu kila timu

jacobwarieba
Автор

Mmi naona tff wanakula rushwaaa kabisa aiwezekani mtuuu moja kudhamini timuu hizooo ni njamaaaa kabisaa karia anajiaribia

jacobwarieba
Автор

Hakuna viongozi tff wote walarushwa niwezitu hawajitambui Wana utimu ndani wanaendeshatimu kimapenzi yavilabu vyao

khamisally
Автор

Hoja haina mashiko!! Mnaoleta hoja hiyo mbona hamtafuti wadhamini?

JosephJumbe-wh
Автор

Hawajibu ufukara na umasikini hapo kula yao na familia zao wanamtegemea gsm. ni watumwa wa matajiri

gorettimtungwe
Автор

Simba poa Wana uzamini wa GSM mana wakikutana Yanga wanapasuka

jumakibompile
Автор

Kweli TFF hawsko sahihi kabisa tena wstoke watuambie sheria hii Iko wapi?

ArafaMkomwele-vihp
Автор

Kaka umesema neno kabisaaa ndo maana juzi tumenyiimwa penat

JeniphaDaud-quib
Автор

Ukizamini zaidi ya clubu moja na huku unaclubu kubwa hapa mashaka yatakuwepotu tuseke ukweli

makamelila
welcome to shbcf.ru