🔴#LIVE: SAKATA la TSHABALALA Lafikia HAPA, LIGI KUU SIMBA Yazidi KUSOGELEA UBINGWA | KROSI DONGO

preview_player
Показать описание
🔴#LIVE: SAKATA la TSHABALALA Lafikia HAPA, LIGI KUU SIMBA Yazidi KUSOGELEA UBINGWA | KROSI DONGO

KARIBU katika 'KROSI DONGO' upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi..

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Shabalala sio mkali sana, sema anabahati ya kucheza ndani ya timu yenye ubora na nidhamu. Lakini sijasema achukuliwe poa!

beaugosseadam
Автор

Waongo hao, hao wote ni mabubujwa wa Yanga wapambe wa Yanga, unakumbuka sakata la Mkude, Chama nk nk leo wamekuja na Shabalala nafikiri bila shaka GSM anahusika, SHABALALA YUPO SANA TENA SANA SIMBA

azizaziz
Автор

Yeye hy shabalala kama anaenda aende hakuna anaemlazimisha lejebishen kauli zenu simba nikubwa kuluko yeye

rehemarashid
join shbcf.ru