Vileja vya half moon | laini sana | How to make melting half moon cookies

preview_player
Показать описание

Ingredients
1 and half cups flour
1 cup butter
1 tbsp sugar
1 cups custard powder
1 tsp baking powder
1/2 tsp ground nutmeg
1 egg yolk
1 tsp food essence (rose or vanilla)
icing sugar for coating
_______________________

✔Shuna's Kitchen

For more updates please join my social media family ❤

__________________________________________

__________________________________________
✔More videos to watch - Shuna's Kitchen

#halfmooncookies #meltingcookies #shunaskitchen
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mejaribu hii resp yako yani mashallh very yummy wallah nitam half vilaini sana mashallh ubarikiwe sisiy ❤

rayarashid
Автор

MashaaAllah shukraan nimependa sana in shaa Allah nitafanya kwa ajili ya eid

selmeahmed
Автор

Yani shuna wanangu washakupenda kila jioni watafungua YouTube kwa TV wangalie jinsi unavyo pika mungu akubariki sana recipes zako rahisi

kingsdaughter
Автор

Maa shaa Allah nimevipendaa Allah akubarik kwa mapishi

ummunaaleicester
Автор

Masha Allah...jazakallah kheyr Shunna...unatuondoa uvivu wa kupika kwel...yaani kama unaotujulia sie wengine..nlikua nalisubiria sana pishi hili kutoka kwako

najatsaid
Автор

Mashalalh nimeipenda Leo naenda kufanya Inshallah

munawarabdallah
Автор

Masha Allah unatupa maujuzi ant kwakweli hongera sana mwenyezimungu azidi kukupa moyo wakuzidi kutufundisha

mwanaishalunyungu
Автор

MashaAllah Shukran sister kwa mapishi mazuri

tumaomar
Автор

Half moon 🌙 pambe 👌 maa Sha Allah nmezpenda 🤝

AzmarJamalulleyl
Автор

Shukran sana ukhty kwa darsa hili nimependa sana

azzahsultan
Автор

Mami usikate tamaa. Utafika mbali kwa moyo wako mzuri

karimelijah
Автор

Shukran tunataka utufunfishe na vipimo vya iceng sugar na kupamba keki na marose tutakushukuru sana na tutafutahi

husseinparco
Автор

Maa shaa Allah... Your videos r always satisfying... Jazaakillahi habbty

moahafidh
Автор

Ma shaa Allah shukran habibty Allah akulipe kila la kheri

asmaabubakar
Автор

mashallah mpenz wetu.shukraan sana nlikua naitafuta siku nyingi hii recep

laylamohamed
Автор

Mashaallah Allah akuzidishiauzidi kutupa ujuzi

aminaseif
Автор

kiu Leo imeisha tumenyanyasika sana sie wengine huko Instagram. Allah akuziidishie moyo wa kushare.

sabraabdulla
Автор

Asante sana nilikuwa nna hamu ya kujua vinapikwaje😋😋 Allah akulipe kher nitavipika inshaallah😙😍

ilhammasoud
Автор

Masha allah vinaonesha vtamu mate yananitoka wallah allah akubariki dada

husseinabdalla
Автор

Mungu akutie nguvu uzidi kutujuza makulat nitajaribu na mimi napenda kupika pika siku moja nataka niwe kama ww

sabaharomar