TANZIA: Muigizaji mkongwe na staa wa tamthilia ya Huba, Grace Mapunda afariki dunia

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Dunia aina huruma 😢😢. Nenda Grace mwendo umeumaliza ☮️ . Moja Kati ya legends kwenye movie industry. Nenda salama 🙏🙏❤️💯

uiptv
Автор

Mama yetu alikuwa ndiyo nguzo ya HUBA daah 😢BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE🙏

rosemahenge
Автор

Ooooohh pumzika kwa amani mm yetu.
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.

gladnessfinda
Автор

Pumzika Kwa Amani Mama, pole Sana familia.

onanarosse
Автор

Mungu ilaze pema peponi roho ya mama yetu Grace🙏🏼

rosebernard
Автор

Inalillah wainalillah rajiun Mungu ailaze roho yeke mahali pema peponi inshallah 😭😭😭😭😭😭😭😭

MwanamisiHamisi-zepz
Автор

Nimeiskiliza hii habari hapa #sns na nikasikiliza na media zingne, LAKINI anavyoisimulia hii habari Sky ni kwa utulivu Sana, ni tune ya KIMASIKITIKO KWELIKWELI habari inakushika na inaendana na moody ya tukio, AHSANTE SANA SKY, wewe kweli ni MKONGWE, Kuna online nyingne kubwa kabisa nimeiskiliza, yaan mtangazaji anatangaza kwa vibe Kama vile siyo taarifa ya msiba, SAUTI yake kaipandisha, hajaiweka kwenye tune ya masikitiko, kiufupi taarifa inakuwa inakupigia kelele, R I.P GRRACE MAPUNDA, tutaonana baadae

-n
Автор

Hakika sote ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea 😭 Mungu ampe safari nyepesi 😭 😭

nahimanajo
Автор

INNA LILAH WAINNA ILAYH RAJIUN MUNGU AMPUUNZISHE KWA AMAN INSHALLAH

nuruddin
Автор

Innalilah waina ilah rajiun Allah atupe mwisho mwema inshallah 😢

Nuru
Автор

INNA LILLAH WAINA ILAYHI RAAJIUN..mola amueke pema peponi

DIDAMOHSIN
Автор

Inna lilahi rajioon 😢kila unapokaa kumbuka kifo mola amlaze pema 🤲🏾amin

ZeinabMohammad-zj
Автор

😳Jaman, 😭😭mbona hivo jmn mung wang inna illah waina illah rajeun allah akurehm

surusuru
Автор

Duu uyu grace mapunda jaman alifanana Sana na marehemu mama angu Yani....duu nanikimuonaga uyu mama nilikuwa namuona kama mama yangu mzazi...duu inalilah wainahilah rajiun

jamilaathumani
Автор

Inalillah wainalillah rajium poleni sana family kwa msiba huu mzito kwenu aiseee 😢

SalmaAthuman-hpen
Автор

Innalillah wainaillayh rajiuun sisi wote niwamwenyezimungu nakwake ndio marejeo yetu 😢😢

سعدههوام
Автор

Hili limenipiga 😢😢😢😢sanaaa 😢😢😢😢😢😢😢why why Tesaaaa

wangagirl
Автор

Nakupe sana wewe baba mungu akupe maisha marefu

AishaDahai-tzsh
Автор

watu wanaisha jamani😢😢😢alikua amekonda sana 😢😢😢😢

JanetAhmad-vh
Автор

Duh mungu akusameh makosa yako yote hapa dunian mama yetu

abdallahathuman