Wazazi wa shule ya Upper Hill wataka shule hiyo kufungwa kutokana na mlipuko wa kipindupindu

preview_player
Показать описание
Zogo limeshuhudiwa nje ya shule ya Upper Hill hapa Nairobi, baada ya wazazi kufika shuleni humo kutaka maelezo zaidi kuhusiana na mlipuko wa kipindupindu shuleni humo. Kufika kwa wazazi kumefuatia ripoti kuwa watoto kumi na sita bado wanapokea matibabu kufuatia kipindupindu huku wengine 95 wakitibiwa na kuruhusiwa kuondoka hospitali.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

They should be monitored from school when they go out they will spread

nambozosharon
visit shbcf.ru