filmov
tv
MNAFKI ISHI NAE KINAFKI - MEDIE KAGERE

Показать описание
Mahojiano maalum na mshambuliaji wetu Medie Kagere baada ya kufunga goli lake la kwanza msimu huu 2023/24 na kuisaidia timu kupata ushindi dhidi ya Coastal Union.
Pia Medie amefafanua maana ya ujumbe alioandika kwenye fulana yake ya ndani ambayo aliionesha wakati akishangilia goli hilo ulioandikwa "MNAFKI ISHI NAE KINAFKI"
Tazama.
Pia Medie amefafanua maana ya ujumbe alioandika kwenye fulana yake ya ndani ambayo aliionesha wakati akishangilia goli hilo ulioandikwa "MNAFKI ISHI NAE KINAFKI"
Tazama.
Комментарии