MORRISON AVUA NGUO HADHARANI KUSHEREKEA UBINGWA, KASEKE NA KOCHA NABI WA YANGA WAMZUIA

preview_player
Показать описание
Simba SC leo imecheza mchezo wa fainali ya Kombe la FA dhidi ya Yanga katika uwanja wa Lake Tanganyika, mchezo huo umemalizika kwa Simba SC kawa Bingwa kwa ushindi wa 1-0 goli likifungwa na Thadeo Lwanga.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Daaaah we. Jamaaa.kama unamkubal Morrison na vituko vyake gonga like

gmuuniversal
Автор

Daaah huyu morrison asiruhusiwe tena kwenda kwao kwamana bangi ya Gana nikali sana kuliko ya Tanzania.Aliye rudia ludia kutazama tukio hili Kama mm like zenu jaman

fredyemmanuel
Автор

Hapana Ana Akili. Badae Simba kashinda Morrison alishereka ndeio anavyo penda Simba. Huyu Morrison ana penda sana Simba. Hongera Morrison.

mohammedgulamali
Автор

Alitaka kuwaonesha kuwa wanasema ana busha lipo wapi? Yupo sawa vibe la ubingwa

haitumikitena
Автор

Huyu chizi akifikishwa dar Simba wachukuliwe hatua Kali, vingnevyo aachwe mirembe!

samwelmangi
Автор

Mm simba dam lkn nmependa ktu alichokfanya kaseke na makocha kmvalixha jmaaa bukta yake maaaan n aibu ametia jmn

richardmakene
Автор

Aaaa!! Uyu molisoni vipi mwili wenyewe huo anamuonyesha nani pichu da! Mpeziwake sijui atakuwa ameona hii aibu mbona

matridachatila
Автор

Angevua gigi money hapo basata lazima wangejileta kimbele mbele kama mfuko wa shati

sijakibwana
Автор

Morrison anashangilia Ila mkude akapimwe akiri eti

daudichacha
Автор

Daaaa huyu ndo anatakiwa akapimwe akili sas siyo hao wengine akina 🤣🤣🤣🤣 Simba kuna watu kweli

ayubushola
Автор

Kama TFF wanafanya kazi Bernard Morrison ana takiwa kufungiwa kucheza soka la Tanzania, anatakiwa kurudishwa kwao, mpira wanaangalia watoto wadogo na wakubwa na watanzania wenye heshima zao, huo kudharau nchi .

corneliobaynit
Автор

Alie vua nguo mwingine aibu naona mimi!

faustermathiasfaustet
Автор

Bigup rudia tena Morrison umetmiza a had ww unaiga tu baba yako gatusso aliwah kufanya

amirakhamis
Автор

Check up💉 kwa Morrison please! Smb he is not alright.!🤒

smaahflix
Автор

Huyu jamaa anatakuwa anatimiza ahadi yake baada ya kuienda yanga Congo japo hajafunga, hivyo mashart ya mzee msumari wa msumari alimuasa afanye hivyo. ndo ujue wanganga au shetani ni mtu mchafu anatafuta kuchafua roho yako tu basi. be carefuly tunaishi mara moja so make sure unajiheshimu mwenyewe kwanza.

johnbupimali
Автор

Acheni UPOTOSHAJI nyinyi waandishi habari uchwara, Mbona MIELEKA wapo uchi mnaangalia na watoto wenu

nuruworldinsight
Автор

Huyu Mkude ni mlevi. Yeye mwenyewe alikiri sivezi ku acha pombe.

mohammedgulamali
Автор

Simba amuwezi kuifunga nyanga kaeni mukijua ilo nyie Simba da ninoma sana nyanga

johnmakalwe
Автор

Kwa wafatiliaji Wa soka n kawaida sana iyo

furthernelly
Автор

Molisoni ana akili naomba wa mupereke osipitari ta

johnmakalwe